Nadhani unapoteza muda mwingi hapa bila kujifunza jipya. Hao wamekufa, Akina nani wamekufa? Unaambiwa tafuta majina hayo, wewe unasema wamekufa. Tuko hapa kusifia walio hai ili watusikie?Hao wamekufa au wameishiwa nguvu mawazo yako unataka wote tukunjie mikia matakoni siyo?
Nijifunze kwa nani? From the cowardice die soft crooks? No Over my dead body may be!!Nadhani unapoteza muda mwingi hapa bila kujifunza jipya. Hao wamekufa, Akina nani wamekufa? Unaambiwa tafuta majina hayo, wewe unasema wamekufa. Tuko hapa kusifia walio hai ili watusikie?
Kwanza hongera sana kwa analysis nzuri sana ya Lissu.Tundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".
Ubaya wa Lissu ni kuwa,maisha yake yote amechagua kuwa upande wa "kupinga" na si "kukubali"...Toka shule ya Msingi,Shule ya upili,chuo,JKT mpaka katika maisha yake ya kila siku,amechagua kuwa "upande wa wachache wasio na sauti"
Upande wa wachache huwa hauna sifa,ni upande wa kufitiniwa na kuhujumiwa...Zaidi ya lugha ya kimahakama,nje ya siasa na sheria,Tundu Lissu ni mtu muungwana sana,ana lugha nzuri na si mtu wa kisasi wala hasira za haraka!!
Kuna wakati ukikaa na Lissu kuongelea maisha na familia,unaweza kujiuliza,hivi huyu ndio Lissu wa Bungeni?
..Tundu Lissu akiongea ktk mazingira ya amani na utulivu yasiyo na figisu-figusu.
..ukimuangalia ktk hotuba yake atajua kwamba ni hotuba aliyoiandaa mwenyewe.
..zaidi utaona jinsi ambavyo amemtendea haki marehemu Sitta.
..hakumshutumu marehemu, na zaidi hakumpa sifa za uongo.
cc FisadiKuu
Watu kama kina Tundu Lisu ni wachache sana dunianiHuyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu..
Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa mahakamani, ila nimemwona Orengo, jamaa is very calm and calculated. Anaongea kwa tone ambayo kila mmoja atashawishika kumsikiliza, sijui Lissu akiwa mahakamani anakuaje, lakini kama anaongea kwa ile tone ya bungeni na kwenye mikutano ya kisiasa naona wazi Lissu atakuwa na weakness fulani.
Ningependa mpitie hili andiko ambalo limempa Orengo sifa lukuki na ni kwanini ameshinda hii kesi akiwagalagaza SC wengine wanne..
Five ways James Orengo has proved to be brilliant lawyer
JE NI HAKI KUMFANANISHA ORENGO NA LISSU? Naomba vijana wa siasa mkae pembeni ningependa kujibiwa na wanasheria na watu wenye uzoefu na mahakama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kwanza wengine hatumjui huyo James..mjadala huu unapaswa kupitiwa upya.
..kama James Orengo anafanana na Tundu Lissu.
Pia ubaya wa Tundu Lissu ni kusimama ktk Haki, Ukweli na ni mpenzi wa Amani kwa wote. Hivyo ndivyo dunia inaweza kumwelezea Tundu Lissu.Tundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".
Ubaya wa Lissu ni kuwa,maisha yake yote amechagua kuwa upande wa "kupinga" na si "kukubali"...Toka shule ya Msingi,Shule ya upili,chuo,JKT mpaka katika maisha yake ya kila siku,amechagua kuwa "upande wa wachache wasio na sauti"
Upande wa wachache huwa hauna sifa,ni upande wa kufitiniwa na kuhujumiwa...Zaidi ya lugha ya kimahakama,nje ya siasa na sheria,Tundu Lissu ni mtu muungwana sana,ana lugha nzuri na si mtu wa kisasi wala hasira za haraka!!
Kuna wakati ukikaa na Lissu kuongelea maisha na familia,unaweza kujiuliza,hivi huyu ndio Lissu wa Bungeni?
Itikadi za huyu mwamba zimenipa mafanikio sana. Mimi sio mwanasheria lakini ukichagua kuwa Bright na Mchapa kazi kama Lissu utafanikiwa sana.Lisu nimemwona kama mtu wa haki sana na kufuata sheria.
Ndio maana kesi zinazomhusu nyingi anashinda kwa ushind
Ila watu wengi wasiofaham sheria wanaweza wasimwelewe.
Ukitaka kumwelewa sikiliza hoja yake tangu mwanzo utamwelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app