Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!
ukitaka kula sharti uliwe,..Yawezekana kabisa haki ilibakwa, lakini aliyeibaka alipata kisingizio ambacho bado anacho - lugha chafu.
Je ni sahihi kuendelea kumpa kisingizio hicho?
wapi kawaita watu panya,..kasema akashughulikie panya,.wewe unamwekea maneno kinywaniMnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
mwambie mtambo wenu wa matusi sumbawanga uchaguzi waja ajiandae kwa matusiMnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
Mnawaita wenzenu Panya nyie mkiambiwa mnavaa magwanda kama mmejinyea mnalalamika.
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."
Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?
Hapo hakuna matusi wala nini, kwani panya matusi, ngoja wamakonde tikusikie.
Mbona huyo rais wenu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa huwa anatoa vibom vya wazi kabisa, kamkanye yeye kwanza.
Mkuu akisema akawashughulikie wezi wa fedha za halmashauri ina tofauti gani kwani..? Wezi c ndo wanaoitwa majina mabaya..? Hicho ni kivumishi cha cifa mbaya ya ziada Mkuu.. Huyo atakaeenda mahakamani kulalamikia kauli hiyo atakuwa anajitaja mwenyewe kwamba ni mwizi..
ccm wanalea panya na mchwa kwenye halmashauri.
wapi kawaita watu panya,..kasema akashughulikie panya,.wewe unamwekea maneno kinywani
Simtishi Millya, lakini kuNa watu watakuja kuzitumia kauli hizo hizo na zitawanufaisha. NINAONA MBALI......
Lugha za kistaarab ni muhimu. Lazima CDM wajitofautishe na wanaowapinga. i.e Lucinde!
Tuanataka staha. Kama Lusinde ni mwehu basi unataka Millya nae awe mwehu? Tunataka kampeni ya kistaarabu
mchwa au panya lina ubaya gani kwa watu wanao itafuna manispaa ya arusha ulitaka tuwaitaje..