Hujui kama Halmashauri zina Panya? Ok hazina Panya zina MCHWA"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."
Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM?
Hujui kama Halmashauri zina Panya? Ok hazina Panya zina MCHWA
No, hazina mchwa bali zina VIWAVI JESHI!
Halmashauri ya jiji la Arusha ina Panya, mchwa, viwavijeshi, siafu, kenge, kunguru, nzige...kunaitajika pestcide itakayo ua bila kubakiza kitu hapo...
Safi sana Millya kauli ya Kimapinduzi hiyo...
Crucifix unamtisha Millya au ni mkwara tu? Yaani siku zote hujajua kuwa CCM hawana tofauti na mchwa, panya, mbwa hata viwavi? Hebu angalia nchi yetu inavyoliwa na kila mdudu huku ikidhalilika kuliko hata mbwa. Shame on you!
hapa hazina SIAFU zina MAFISI !No, hazina VIWAVI JESHI zina SIAFU..
haki ilibakwa,tunasubiri rufaaMwisho wa siku mahakama zikitengua matokeo kutokana na lugha zisizofaa tusirudi tena kulalamika eti kuna shinikizo la kisiasa. Kumbuka kauli ziligharimu ubunge wa Lema
Mbona sioni ubaya hapo! Hivi hiyo kauli na zile kauli za lusinde ipi ni mbaya. Kwetu CDM hatuna ubaya na hiyo kitu au mnataka kumwambia Tendwa atoe tamko? Imewagusa.
mleta uzi yuko kwenye hiyo network ya mapanya ndio maana imemuuma sana,na ukome!Crucifix unamtisha Millya au ni mkwara tu? Yaani siku zote hujajua kuwa CCM hawana tofauti na mchwa, panya, mbwa hata viwavi? Hebu angalia nchi yetu inavyoliwa na kila mdudu huku ikidhalilika kuliko hata mbwa. Shame on you!