SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,805
Ni Abdul wa ChademaMambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. Huyu mtu Hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? Kiwango chake cha juu cha Elimu?
Yeye hagombei uenyekiti?Mshika mkoba
Jinsia Yake?Ni Chawa wa Baba yake mdogo
Kumbe ni baba mdogo, mie huwa najua ni baba mzaziNi Chawa wa Baba yake mdogo
Baba yake mdogoKumbe ni baba mdogo, mie huwa najua ni baba mzazi
Utadhani Baba MzaziBaba yake mdogo
Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. Huyu mtu Hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Yupo bize kugawa "uchakavu" kwa wapiga Kura wa 21/01/2025huyo James yuko wapi
Wamejieleza vizuri kuwa kanda watachagua mtu wa kugawa "uchakavu". Hakuna dhambi kwa kanda yake kumchagua agawe "uchakavu".Yupo bize kugawa "uchakavu" kwa wapiga Kura wa 21/01/2025
Nchimbi kiboko yaoWamejieleza vizuri kuwa kanda watachagua mtu wa kugawa "uchakavu". Hakuna dhambi kwa ksnda yake kumchagua agawe "uchakavu".
Amandla...
Hakufaulu kidato cha nne mkuuMambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. Huyu mtu Hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!