James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.

Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.

Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.

My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?

Kwani ZZK naye anasema je?
 
Tufanye yafuatayo;tshs yetu tuipandikize kwenye BWP na tuondoe kwenye mzunguko noti zote za kuanzia 1000 hadi 10 000(tubakiwe na 100 tu,hili linawezekana Zambia walifanya hili)extra taxes kuhusiana na bei ya mafuta ziondolewe na zibakizwe zile muhimu tu,watumiaji wa barabara tujenge road tolls ili gharama za hizi barabara zipatikane humo;free market tuimarishe ila tulinde viwanda vya ndani;serikali yetu ni kubwa mno we just need 15 Departments;mikoa 20 tu na wilaya 70 tu,wananchi wanahitaji services delivery sio utitiri wa wilaya na mwisho tufanye kazi kwa uadilifu!TRA na TBS ya sasa ni vikwazo mno kwa wajasiria mali ni super bussiness people's wanaonufaika na taasisi hizi.
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
 
Tatizo huyu Mbatia huwa haeleweki misimamo yake, sijui huo u-KUB alioahidiwa na mwendazake sijui upo wapi, bora akae kimya awaache wengine wamshambulie maza tutaelewa.
Alikwambia ameahidiwa u-KUB?
 
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
Ulishawahi kusafiri kuja makao makuu ya mkoa wa Morogoro ukiwa unatokea Malinyi? Ulijisikiaje
 
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.

Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.

Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.

My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?

Chanjo iwe ni hiari au ni lazima?

#COVID19 - Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Tutafika tu.
 
Upunguze mikoa na wilaya????unataka hawa chawa wafe co????hlo haliwez tokea hvhv mpk ifanyike struggling
Tufanye yafuatayo;tshs yetu tuipandikize kwenye BWP na tuondoe kwenye mzunguko noti zote za kuanzia 1000 hadi 10 000(tubakiwe na 100 tu,hili linawezekana Zambia walifanya hili)extra taxes kuhusiana na bei ya mafuta ziondolewe na zibakizwe zile muhimu tu,watumiaji wa barabara tujenge road tolls ili gharama za hizi barabara zipatikane humo;free market tuimarishe ila tulinde viwanda vya ndani;serikali yetu ni kubwa mno we just need 15 Departments;mikoa 20 tu na wilaya 70 tu,wananchi wanahitaji services delivery sio utitiri wa wilaya na mwisho tufanye kazi kwa uadilifu!TRA na TBS ya sasa ni vikwazo mno kwa wajasiria mali ni super bussiness people's wanaonufaika na taasisi hizi.
 
Ameongea vizuri sana....!!
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.

Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.

Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.

My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?

Ulishawahi kusafiri kuja makao makuu ya mkoa wa Morogoro ukiwa unatokea Malinyi? Ulijisikiaje
Shida sio kusafiri serikali ipeleke huduma za muhimu ikiwezekana katani Raia wapate huduma zote za msingi sio kusafiri Hadi wilayani na kugawa vi portion vya nchi na gharama zinakuwa kubwa kwenye administration kuliko maendeleo
 
Kuna shida lazima uende hospital ya mkoa au ukachukue kibali kwa mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom