Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Uyo ni Raisi wa mirathi, mpaka sasa hajui anachofanya zaidi ya kusubiri muda wake upite akacheze na wajukuu zake akina Wanu
Kabisa lakini leo Mbatia amesifia awamu ya tano kuwa ilijaribu kupambana na tatizo la sukari kwa kuanzisha viwanda vipya ikiwemo cha Salim Bakhresa.
Leo naona akili zimerudi, kimsingi bibi ushungi hajui hata anafanya nini hapa duniani
CCM wanawasifia kimya kimya kwenye vikao vyao vya ndaani ndani huko na kutuma kina pole pole na Makonda kwenda kuwanunua.Tuambie siku ccm walisifia ya wapinzani.
JPM aliikuta sukari 1,200 akaicha 2,800 sielewi mnaongelea sukari ganiWalau leo ameona zuri la JPM maana wao ni kuponda tu.
Mbatia ni mjane mwenzio.Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.
Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.
Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.
Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?
Hivi tutaacha lini unafiki?
CCM wanawasifia kimya kimya kwenye vikao vyao vya ndaani ndani huko na kutuma kina pole pole na Makonda kwenda kuwanunua.
Angalia wote waliorubuniwa na kujiunga na CCM Ni watu waziri mpaka wanapewa madaraka makubwa serikalini. Mitano michache.
1. Yule mpenda bia baridi
2. Sidiriande
3. Tumbili
4. Jamaa yake tumbili
5. Jotokali
6. Mkuu wa wilaya moja pembezoni
7. Mzee mdee and co.
8. Kikumbo
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.
Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.
Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.
Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?
Hivi tutaacha lini unafiki?
Raisi anaweza kuingilia Kati wananchi wakiandamana kupinga mfumuko wa bei wapi umesikia wananchi wamendamana kila mtu anafanya mishe zake kama kawa atajuaje kama kunatatizoNaungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Ikifikia hatua ya wananchi kuandamana jua ndio mwisho wa Serikali iliyopo madarakani.Raisi anaweza kuingilia Kati wananchi wakiandama kupinga mfumuko wa bei wapi umesikia wananchi wamendamana kila mtu anafanya mishe zake kama kawa atajuaje kama kunatatizo
Hiyo ni bei ya nyama au utumbo bwashee?Nyama kinondoni 1KG ni 9,000 TZS
Wananchi gani unawazungumzia wako busy na mambo ya kijinga mtandaoni mnakuja kumtuisha zigo mama ningumu kujua Kama kuna mfumuko wa bei unafikiri atajuaje bila kwenda sokoni kila kitu anakuta kiko tayari tatizo ni sisiIkifikia hatua ya wananchi kuandamana jua ndio mwisho wa Serikali iliyopo madarakani.