James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Mashibuda wengine wanazaliwa
si mbaya kwa muda huu kwani kwa ujumla wao wakija wakifika tuu wakiangalia nyuma ccm imekufa.Kazi yao itakuwa imekwisha.Watabaki wakilia bora kipindi cha CCM watakapojikuta sasa wanatakiwa fanya kazi na si maigizo.
 
Lembeli, Bulaya, Kangi, Filikujombe hao ndiyo majembe yaliyo ndani ya ccm, lakini nasikia Deo Filikujombe amekuwa mwizi wa rasilimali, na ni mfanyabiashara halipi kodi siku za hivi karibuni, mtonyaji amenitonya kuwa Deo Filikujombe kwa ufisadi anaoufanya hawezi kutoka ccm, atabaki huko kulinda biashara

Angalizo: Usije ukawa unamchanganya na Deo Sanga ambaye ni Mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa Makambako. You better be right.
 
kwa ester bulaya kuwepo ccm alikuwa anapoteza muda. anapaswa kuwepo pamoja na halima mdee.
 
Estar baki ccm maana uwezo wako utakufanya magufuli akupe nafasi ya uwaziri vinginevyo un anakoenda patakuchelewesha kufikia malengo yako ya kisiasa,

labda huo ubunge apate wa viti maalumu au wa kuteuliwa. ccm itamkata tu wakati wa mchakato wa kumpata wa kupeperusha bendera ya ccm...
 
Nampenda Bulaya,kabla hajaamua naomba asikilize ushauri wangu humu JF,naamini yeye ni bora.Asifanye kama Machali alivyoamua roughly utadhani hajui kuwa ana watu nyuma yake ambao sio lazima awajue au kuwaona.Huwa tunafarijika sana kuwaona vijana bungeni wakipangilia hoja bila kujali vyama vyao.Na huwa tunawachukia wale wanoko wa ndioooooooooo.
 
Back
Top Bottom