James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Estar baki ccm maana uwezo wako utakufanya magufuli akupe nafasi ya uwaziri vinginevyo un anakoenda patakuchelewesha kufikia malengo yako ya kisiasa,

Angeweza kubaki ccm shida ni kuwa Wassira atahakikisha jina la Bulaya linakatwa na wala hapewi sababu. Vinginevyo jina lake likirudi Wasira atafute pori.
 
KOMBOA TANZANIA
NA LOWASSA!
MUNGU MBELE!
Watanzania tukatae magoli ya mikono ya wahuni na wabakaji wa haki na Demokrasia Tanzania.
Tanzania ni yetu sote! ✌
 
Lembeli, Bulaya, Kangi, Filikujombe hao ndiyo majembe yaliyo ndani ya ccm, lakini nasikia Deo Filikujombe amekuwa mwizi wa rasilimali, na ni mfanyabiashara halipi kodi siku za hivi karibuni, mtonyaji amenitonya kuwa Deo Filikujombe kwa ufisadi anaoufanya hawezi kutoka ccm, atabaki huko kulinda biashara

Lembeli,Lugola na Ester wawahi nafasi chadema nawahakikishia majina yenu hayarudi. Wasira anao ukakika jina kurudi na hataFilikunjombe.
 
Nadhani huyu lembeli kinachomchosha ni mazengwe ya ccm ndani ya kura za maoni ndanu ya ccm mkoa wa shinyanga

Km mtakumbyka hyu lembeli aliwahi kupewa jimbo feki agombee
 
Dada Bulaya warudishie kadi yao. Njoo tuunganishe nguvu moja Mdee atakuonesha njia peopleszzzzzzz!!!!!!!
 
Ningetamani pia na watu kama Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wachukue uamuzi kama huo. Ninatamani CCM ibakiwe na waropokaji tu kama Lusinde.

Nina imani kangi wakati wowote anaweza kutia timu cdm
 
Esther Bulaya akija CHADEMA na akapata ubunge basi Chadema itakuwa imeongeza idadi ya vichwa. Huyo dada namkubali sana ana uwezo wa kujenga hoja japo yupo gambani. karibu CDM

Raha kupita kiasi
 
Msipowapa uongozi hawaji,ngojeni tu na huko kwenu kutawaka moto tu. Mapesa yoote ya ubunge hayo hamna chama kitabaki salama. Lazima udikteta utumike kuamua mambo,hapo ndio moto utawaka

Utakufa kwa kihoro,hamia cdm ili ule upepo
 
Esther Bulaya akija CHADEMA na akapata ubunge basi Chadema itakuwa imeongeza idadi ya vichwa. Huyo dada namkubali sana ana uwezo wa kujenga hoja japo yupo gambani. karibu CDM

Nakuunga mkono!
 
. Acheni kushangilia,ni moto huo unakuja kwenu,wako waliosota kwa miaka huko,sasa kama mnahisi kuna neema inakuja halafu ichukuliwe na wengine unadhani patakalika hapo. Msipowapa uongozi hawaji,ngojeni tu na huko kwenu kutawaka moto tu. Mapesa yoote ya ubunge hayo hamna chama kitabaki salama. Lazima udikteta utumike kuamua mambo,hapo ndio moto utawaka

Cdm hatubembelezi mtu hasiye kubaliana na sheria za chama,kamuulize zzk
 
Na washauri wake wamemshauri abaki CCM ambako anampokea Tyson

Wakati Tyson ameenda wapi?maana uprezdaa kaangukia pua tayari,alafu ester anahama ccm kwa sababu ya mfumo uliopo ndani ya chama siyo kukosa nafasi ya ubunge,ccm sasa kunanuka
 
Back
Top Bottom