James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Ningetamani pia na watu kama Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wachukue uamuzi kama huo. Ninatamani CCM ibakiwe na waropokaji tu kama Lusinde.

hakuna wanafiki ccm kama hao jamaa wawili
 
esta anapoteza nafasi ya uwaziri chini ya magufuli maana kweli nanvyofanya kazi wasingemuacha ni mzuri,ataendelea kuwa kwenye benchi tu,kabla hajafanya maamuzi atafakari kwanza
 
Estar baki ccm maana uwezo wako utakufanya magufuli akupe nafasi ya uwaziri vinginevyo un anakoenda patakuchelewesha kufikia malengo yako ya kisiasa,
 
Mtamtamani sana Bulaya. Yeye ndiye mrithi wa Tyson

wanapoteza muda maana huyu dada ni miongoni mwa wanawake ambao naamini ka magufuli ndo watu wake kwenye nafasi za uwaziri,akijichanganya atachelewa kufikia malengo yake,
 
Lembeli, Bulaya, Kangi, Filikujombe hao ndiyo majembe yaliyo ndani ya ccm, lakini nasikia Deo Filikujombe amekuwa mwizi wa rasilimali, na ni mfanyabiashara halipi kodi siku za hivi karibuni, mtonyaji amenitonya kuwa Deo Filikujombe kwa ufisadi anaoufanya hawezi kutoka ccm, atabaki huko kulinda biashara
 
Back
Top Bottom