James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Lembeli hana loloterushwa mkubwa kazi yake ilikuwa kuchukuwa hongo Kwa wafugaji ili awatetee waendelee kuweka mifugo yao ndani ya hifadhi
 
Hatuta pokea makapi kutoka CCM-dr slaa

Kuna watu ambao hawapendwi CCM kutokana na viwango vyao kuwa juu zaidi ya CCM na wanaondoka CCM wenyewe baada ya kutambua kuwa hawatakiwi CCM na kujiunga na upinzani,hao watapokelewa kama kawaida na kuna wale wanaotupwa na CCM baada ya kushuka viwango hao ndio makapi ambao hawatapokelewa hata kama wakija upinzani labda kama wanataka kuwa wanachama wa kawaida.
 
Ndio maana magufuli ameomba muondeleni mabunzi il torch iwake, sasa kuna mengina yanaondeka yenyewe. Tiger tiger tiger ndio inawaka, tiger tiger bunzi nouma sana
 
Mbunge wa jimbo la Kahama ndugu James Lembeli (CCM) amewaeleza bayana viongozi wa CCM wilaya ya Kahama kuwa hana hamu tena na hataki kuisikia CCM.

James Lembeli hata hivyo hajabainisha rasmi mustakabali wake mpya wa kisiasa ingawa habari zilizozagaa mjini Kahama ni kuwa mbunge huyo aliyemaliza muda wake yupo mbioni kutimkia Chadema.

Aidha katika hatua nyingine, mbunge wa viti maalum CCM ndugu Esta Bulaya naye amesema wazi kuwa hana tena mpango wa kuendelea kubaki CCM.

Mbunge huyo machachari bado hajadokeza chama atakachohamia na/au kuachana na siasa na hakuna uvumi wowote unaomhusu ulioenea au kuenezwa mpaka sasa.
Huogopi kuwa mmbea mbona wiki iliyopita bulaya kachukua fomu kugombea ubunge jimbo la bunda au unazungumzia esther yule dada yako?
 
Bulaya na Lembei,Kunjombe wamekuwa wakweli tanga zamani kama ulikuwa unafutilia kwa miaka mitano iliyopita utakubaliana na Mimi walikuwa kama NI WABUNGE WA UPINZANI HATA KTK BUNGE LA KATIBA WALIONYESHA UKOMAVU MKUBWA KWA KUUNGA MKONO SERIKALI TATU NA KURA ZA SIRI.
 
Bulaya na Lembei,Kunjombe wamekuwa wakweli tanga zamani kama ulikuwa unafutilia kwa miaka mitano iliyopita utakubaliana na Mimi walikuwa kama NI WABUNGE WA UPINZANI HATA KTK BUNGE LA KATIBA WALIONYESHA UKOMAVU MKUBWA KWA KUUNGA MKONO SERIKALI TATU NA KURA ZA SIRI.

Filikunjombe msakatonge tu na mnafiki, hao wengine labda
 
Taarifa ambazo zimepatikana baadaye zinasema, Lembeli anatarajiwa kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), muda wowote kutoka sasa.
Aidha, wabunge wengine wa CCM majina tunayo, wanatarajiwa kujiunga na chama hicho na kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini
CHANZO; MWANAHALISI ONLINE

...ccm wanawatumia hao watu wanajifanya wameama chama kumbe wap...cdm kuwen makini ndo hao wakina shibuda, matata n.k
 
Sio pigo tu,ni pigo takatifu.
Its like Van Dames flying KICK.
NA BADO ila CDM wawe waangalif,MAMLUKI PIA WAPO!.
sio kila ndiyo ni ndiyo,zingine siyo!.
 
Nasema pia wachujwe maana mamluki nao wamo,
SHIBUDA awe mfano!.
 
Narudia tena kusema chadema inamwongozo wake hivyo wao wapokelewe tu maana wakishindwa siasa niuhuru wakuchagua kile anacho kipenda hivyo wakishindwa watakiacha chama kilivyo kama walivyofanya akina zitto shibuda kwahiyo maandiko yana sema njoni tusemezane zambi zitakuwa nyeupe kwa hiyo chama kina nguvu kuliko mtu
 
Back
Top Bottom