Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mtamtamani sana Bulaya. Yeye ndiye mrithi wa Tyson
Jipe matumaini
Mtamtamani sana Bulaya. Yeye ndiye mrithi wa Tyson
hakuna wanafiki ccm kama hao jamaa wawili
Anamfuata mumewe Halima Mdee
tetetetetetet hapo watu wengi watatoka kapa.
aje akawe waziri kivuri na uwaziri halisi ataupata lini?
we huyo dada ni miongoni mwa mawaziri wa magufuli naamini hawezi kumuacha maana kasi yake zinaendana kidogo,
Ccm inabaki na upweke
Lembeli, Bulaya, Kangi, Filikujombe hao ndiyo majembe yaliyo ndani ya ccm, lakini nasikia Deo Filikujombe amekuwa mwizi wa rasilimali, na ni mfanyabiashara halipi kodi siku za hivi karibuni, mtonyaji amenitonya kuwa Deo Filikujombe kwa ufisadi anaoufanya hawezi kutoka ccm, atabaki huko kulinda biashara
Hata ukikashifu ccm ndio byebye
Shetani kaachwa pweke
CCM kuna nafasi finyu ilhali wao ndo wanamiliki Rushwa,ubadhirifu,ushenzi,unyanyasaji,uvunjivu wa amani,ujambazi namauaji,uasherati!Wewe ni mpumbavu kama PM fulani.Wasakatonge, wameona nafasi zao CCM ni finyu wanatafuta pa kutokea
Atafanya kupitia udiwani maana ubunge unaenda cdm
Waziri kivuli wakati cdm/tunachukua ikulu yetu,ccm sasa mfirisi
Narudia tena huyu Lowassa madhara yake ni makubwa.
Ningetamani pia na watu kama Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wachukue uamuzi kama huo. Ninatamani CCM ibakiwe na waropokaji tu kama Lusinde.
Ningetamani pia na watu kama Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wachukue uamuzi kama huo. Ninatamani CCM ibakiwe na waropokaji tu kama Lusinde.
Taarifa ambazo zimepatikana baadaye zinasema, Lembeli anatarajiwa kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), muda wowote kutoka sasa.
Aidha, wabunge wengine wa CCM majina tunayo, wanatarajiwa kujiunga na chama hicho na kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini
CHANZO; MWANAHALISI ONLINE