James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

Wakati zitto akiparurana na karamagi juu wa mkataba wa mgodi Lembeli alikaa kimya kana kwamba issue ile haikuwa jimboni kwake. Lembeli alikataa kutoa maoni yake kwenye tume ya bomani juu ya urekebishaji wa mikataba ya madini, leo dhahabu imekwisha na mgodi unafungwa mwisho wa mwaka huu huko chedema atatetea maslahi gani ya wana chadema aliyoshindwa kuyatetea kwa miaka kumi aliyokaa ccm?
Kama wanachofuata ni ubunge hawafai, na wasipwe nafasi wajinga hawa. Leo ndiyo wanajua kuwa ccm ni mbaya kwa kuwa maslahi yao binafis yameguswa?!
 
Hii inaitwa One for the Road.... hakika utabiri wa Nabii Kakobe juu ya Anguko la Mkoloni Mweusi unaanza kujidhihirisha!:glasses-nerdy:
 
Bulaya Jembe sana ameonahawezi kuwa mnafiki afadhali akagunguke kwingine
 
Hata Mpendazoe aliondoka kwa mbwembwe hivyo hivyo, yu wapi sasa???
 
Karibuni Sana majembe. Chadema chama cha wapenda Haki. Mungu awabariki sana

Mkuu kidogo nishangae hiyo ID ya " Kimweli"
Ambae anasafia wahuni

Kumbe , " Kimweri" original siyo wewe

Plz hiyo ID inaweza changanya watu sababu mnatofauti katika "r" na "l"
 
walishindwaje kuhama kabla ya kumaliza ubunge wao, walikuwa wapi wakati wanjadili katiba mpya? walikuwa wapi wakat mikataba mibovu inapitishwa bungeni? hali imekuwa mbaya kwenye li chama lao sasa eti wanajifanya hawataki kuwa sehemu ya maovu waliyoyaasisi kule dodoma, hawa raia wa aina hii hawastahil kupewa hata uongoz wa nyumba kumi wabakie wanachama wa kawaida tu. Tunao watanzania wenye sifa nzuri kuliko wao.
 
Msipowapa uongozi hawaji,ngojeni tu na huko kwenu kutawaka moto tu. Mapesa yoote ya ubunge hayo hamna chama kitabaki salama. Lazima udikteta utumike kuamua mambo,hapo ndio moto utawaka

Dua la kuku hilo ,ni wakati wako wa Julia sasa
 
nadhan busara,kamawangetoka bila matusi baada ya kambi yao ya zamani kuwalea kwa muda mrefu,ila sema kwa sasa wameona maji marefu kwao na jembe ndo linaingia,pisheni njia,akina lembeli acheni wanaume wanaingia kazini sasa
 
Kuna watu ambao hawapendwi CCM kutokana na viwango vyao kuwa juu zaidi ya CCM na wanaondoka CCM wenyewe baada ya kutambua kuwa hawatakiwi CCM na kujiunga na upinzani,hao watapokelewa kama kawaida na kuna wale wanaotupwa na CCM baada ya kushuka viwango hao ndio makapi ambao hawatapokelewa hata kama wakija upinzani labda kama wanataka kuwa wanachama wa kawaida.

Hawa hawa kwa sababu wanawafaham ccm vuzuri tutawatumia kuwaangamiza pumbav kabisa wew
 
Amebaki Kangi lugola kugiunga katka ukombozi wa taifa
 
Kama wanachofuata ni ubunge hawafai, na wasipwe nafasi wajinga hawa. Leo ndiyo wanajua kuwa ccm ni mbaya kwa kuwa maslahi yao binafis yameguswa?!

Ccm haina tofauti na maradhi ya ukimwi. Hivyo waache wakimbie vvu.
 
Mbunge wa Kahama James Lembeli, leo ametangaza rasmi kujiunga na Chama Chda Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Lembeli, amesema kilichomuondoa CCM ni rushwa ambayo ilikithiri katika eneo alilokuwa hapo awali na kwamba hana tatizo lingine la CCM
 
Watahangaika sana tuu...CCM inaweza bila hao wanafiki wakubwaa
 
Back
Top Bottom