Jambazi achomwa moto Kibiti

Jambazi achomwa moto Kibiti

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto akisadikika ni jambazi ndipo wananchi wenye hasira kali kuchukua sheria mkononi ya kumchoma moto

 

Attachments

  • Screenshot_20170728-142504.png
    Screenshot_20170728-142504.png
    71.5 KB · Views: 41
Kama hujawahi kuvamiwa na jambazi/kibaka ni bora ukanyamaza kimya.... Kama ni kweli ni mtuhumiwa ndiyo adhabu yake anastahili...

Halafu hili tukio halijatokea KIBITI nimetokea Mbagala-Mbande, Wakurya wamefanya yao walimchinja shingo ndiyo wakaanza kumpiga moto huyo ni mwizi aliye shindikana kwa taarifa nilizo zipata

Nyi ndio mnakuwaga wa kwanza mkisikia sheria ya Mungu ktk vitabu kuwa wezi wakatwe mikono,,,mnasema ni adhabu kubwa,,ila kuchomwa moto ni adhabu ndogo
 
Mungu endelea kunipa hii tabia ya kusamehe na kutolipiza kisasi. Siwezi shiriki unyama huu hata siku moja. Nitakachofanya ni kumpeleka kwenye vyombo vya sheria, akishindwa kunilipa tatafuta vingine.
 
Mmh jamani binadamu tuna roho ngumu. Kuku tu siwezi kushukudia akichinjwa. Eee Mungu utulipe sawa sawa na matendo yetu
hata biskuti huwezi ivunja bila kuloweka na soda ganta.
 
Hii kama ni kweli soon tutawaona Kijo bisimba na kambi ya upinzani wakiwalaani wananchi kujichukulia sheria mkononi .. Wakat wananchi wanauwawa huko kibiti hawajawahi kulaani..
 
Back
Top Bottom