Okol36
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,565
- 780
Yale wameyaachia serikaliMbona yale mengine walikuwa hawayachomi moto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale wameyaachia serikaliMbona yale mengine walikuwa hawayachomi moto?
Umenena mkuuPolisi ifanye uchunguzi kwa kutumia video hii kuwakamata wote walioonekana sura zao ili walisaidie jeshi la polisi kuwabaini waalifu walioshiriki mauaji,kuiba ni kosa lakini kuua tena kwa makusudi pia ni kosa na tukiicha hii tabia kuna watu watauawa kwa bahati mbaya kisa tu kaitiwa mwizi!
Sent using Jamii Forums mobile app
weKwani wewe hupendagi mishikaki??
Vegetarian au??
Kheee kheee kheeeeeeeeee!
MP? You're weird.Wengine wanapiga picha kwa simu zao hadi akina mama!!! Mie ningekimbia hata kama huyo ni jambazi siwezi kuvumilia kuangalia anavyokata roho!
Mie hata nikiona mwizi anapigwa najikuta ghafla naanza MP hata kama ilikuwa sio tarehe zake!!!
Hizi video uwa zinaambatana na onyo hii haikuwa na onyo.nadhani umefungua mwenyewe, au umefunguliwa na chama cha siasa?
Hapo ndipo ugundue kuwa hata watu wenye mioyo ya isis tunaiahi nao daily sema hawajapata nafasi ya kufanya hivyoMwingine anachomwa moto, mchana Kweupeee, mwingine ana record, afu mnashangaa wale ISIS materorist wanavyochinja watu?! smh