Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Mkuu nishaibiwa sana. Lakini mauaji sio hukumu sahihi ya wizi. Isitoshe unaweza kukuta aliyeuliwa kikatili namna hiyo wala si mwizi bali chuki za kibinadamu.Mkuu hujawahi ibiwa/ vamiwa na jambazi/ kibaka! Hawa watu hawahitaji huruma hata kidogo, wanarudisha nyuma watu kimarndeleo na wako tayari wachukue pumzi yako kisa wanataka kitu ulichokitafuta kwa kasho lako!
Kuna mida kinakuwaga na mistaken identity au ukurupukaji wa raia wenye hasira hivyo mara chache wanaweza ua mtu ambaye sio sahihi, ila kama wanakuwa wamempata mtu sahihi, mi nasema AROSTIWE tu maana hamna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app