Jamani winter tuachieni wenyewe huku Michigan!

Jamani winter tuachieni wenyewe huku Michigan!

Tatizo ni kwambo itatu-affect sote...wao na sie!
Lakini Ab-Titcaz ; kwetu tumeshakuwa sugu kwa mainfections !! Ngoma kwenu!! " akifa paka au ndege mmoja tuu!! Haki (HR) zao zaanza kuinuka,mandamano,strike,serikali huwa hatarini !!" Lakini kwetu millioni Tukiathirika au kufa au kuuwawa hiyo wataita Lack of Demokrasi !!!!!
 
Mkuu sisi huku Oceania tunakoma kwa joto ImageUploadedByJamiiForums1389184867.800105.jpg

Nadhani hii ni zaidi ya Dar, state zingine last week hadi nyuzi 41
 
Kazi tunayo wakuu..afu baridi ya kutisha nyie acheni!

bilde

A fresh snow fall hitting Metro Detroit has slowed residents down to a crawl on Monday, Jan. 6, 2014 in downtown Detroit.

bilde

Mitaa ya Eastpointe​
Mkuu Ab-Titchaz pole sana.
Maisha ya kuishi kwenye friji si mazuri, najua sasa unatamani ungekuwa Mombasa!!!

Huku bongo ni kusweti mtindo mmoja.
 
Last edited by a moderator:
hapo utelezi inaitwa usipime, ikikamatana vzr hadi gari zinaanza kuteleza
 
hapo utelezi inaitwa usipime, ikikamatana vzr hadi gari zinaanza kuteleza

Nikitoka kazini kuna jamaa kanipita fuli fuli afu sio mda mchache tu gari lake pindu!...Sijui nicheke au nilie.
Mwenzio nikaendelea na mwendo wangu wa jongoo hadi geto. Hii kitu haina ujuzi hata kwa wazawa.
 
dah mkuu polen ila hongereni mnaogea maji ya baraka wiki mbili tu m2 umetakata mbaya. nlibahatika kwenda brazil ila nlipofikia kwa hyo mwenyeji wangu nliwish ningekua bongo tu maana ni uswazi balaa halaf joto hasira. ukipiga story na wana nao wana wish siku moja waje africa kutafuta maishayaani!
 
bila shaka ulikumbuka semi za wazee kuwa kunguru muoga anamaisha marefu..hongera na endelea kuwa makini mkuu
 
bila shaka ulikumbuka semi za wazee kuwa kunguru muoga anamaisha marefu..hongera na endelea kuwa makini mkuu

Nimekupata kamanda...usukani mikono miwili aisee...afu mwendo kama kibibi vile. Mwenye hasira anipite,
mwenzenu sina haraka...:hand:
 
dah mkuu polen ila hongereni mnaogea maji ya baraka wiki mbili tu m2 umetakata mbaya. nlibahatika kwenda brazil ila nlipofikia kwa hyo mwenyeji wangu nliwish ningekua bongo tu maana ni uswazi balaa halaf joto hasira. ukipiga story na wana nao wana wish siku moja waje africa kutafuta maishayaani!

Tushapoa Ankal. Leo anagalua temperature ni -1 na tunaona eti nafuu...lol!

Umenikumbusha mshkaji wangu kwa jina Lomadi, yupo mitaa ya Rio. Nikiona picha zake nasema afazali Kisauni
mara kibao. Brazil msoto msoto tu, ila kwa wanawake wakware, hawajambo!
 
Kazi tunayo wakuu..afu baridi ya kutisha nyie acheni!

bilde

A fresh snow fall hitting Metro Detroit has slowed residents down to a crawl on Monday, Jan. 6, 2014 in downtown Detroit.

bilde

Mitaa ya Eastpointe

​
Nyumbani kwangu, hapa ndipo tunachoma nyama na wabongo kipindi cha summer. Itabidi jiko jipya eti....

1511312_10151949204279107_1021769342_n.jpg
Mkuu.@Ab-Titchaz raha ya baridi kama hii uwe upo nyumbani kwako na mke wako na watoto wako uwe

hudaiwi kodi ya nyumba bili ya umeme bili ya maji bili ya kulipa Gesi ya nyumba na ma heater, pia uwe hudaiwi bili ya

kulipa simu na internet basi unamkumbatia mke wako na watoto wako hamutoki njee raha tupu mkuu ni starehe za

kumwaga ndani ya nyumba. Lakini ukiwa unadaiwa kodi ya nyumba bili ya umeme,maji,simu gesi na internet utakuwa

huna raha na hiyo baridi ya kumwaga namna hiyoUtaiona hiyo Baridi ni nuksi kwako.Mimi nipo karibu na Heater la

umeme hapa. Mimi sinywi pombe ninakunywa sana chai naasali ili kunilinda na baridi ndio maana wazungu wanapenda kulewa sana

kwa sababu ya baridi nimegunduwa kasheshe kweli. Kunatisha Ulaya na Amerika kwa baridi.

Electric-Heater-QH-90F-1-.jpg

Attachments

  • Electric-Heater-QH-90F-1-.jpg
    Electric-Heater-QH-90F-1-.jpg
    38.3 KB · Views: 65
Nilimsikia jamaa mmoja anaongea kwenye Voice of America Swahili anasema alisahau soda ndani ya gari basi asubuhi akakuta chupa imepasuka kwaajili ya kiwango kikali cha baridi sana. Maisha hayo ni magumu sana bora hapa nyumbani Tanzania hali huwa shwari sana kiasi kwamba hufikirii pombe gani unywe hata kiroba kinatoa tu hiyo baridi.

Lakini huko inabidi mizinga mizito ya pombe halafu sio kulewa bali unakuwa kama umekufa kwa siku kadhaa
Mkuu hichi kipindi cha baridi kali hapo Marekani kinadumu hadi mwezi wa ngapi? Maana kina kitu kwasasa kama hakiendi sawa hadi barabara nazo zinabarafu mito,maziwa yameganda ni hatari sana huko majuu.

Mungu ni Mwema,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom