Jamani winter tuachieni wenyewe huku Michigan!

Jamani winter tuachieni wenyewe huku Michigan!

article-2535695-1A7D3A7A00000578-674_964x532.jpg
 
mh kwa hali hiyo mi ndo ningekufaga kabisa kha! poleni ndg zangu mliopo huko...
 
Majuzi kati hapa nilikuwa naenda kikazi Arusha ikabidi nibebe nguo nzito nzito kuhofia Baridi la Arusha, sijui nikija maeneo kama hayo nitakuwaje jamani hivi mna-enjoy hata vinywaji kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom