Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Mengine huwa sina time nayo ila harufu mbaya huwa haijifichi tuache utani wanaume kwenye hili sector tunaongeza kunuka mdomo, jasho la makwapa

Kwenye daladala sio siri huwa nakereka umekaa dear ya watu wawili anakuja mmama bonge wakati anakaa Yani puuuu kama anajirushia anakukalia na wewe , alafu anakugeukia anakwambia pole🤣😂
kuna wahuni wananuka beberu sio poa aisee
 
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.

Angalia maeneo unayopita na kukutana nao, inawezekana ndo class yako.
 
Back
Top Bottom