KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
- Thread starter
- #41
Haya...! Nisije ona hapa unasupport single mother..!ndiyo .
Haya...! Nisije ona hapa unasupport single mother..!ndiyo .
kama ikitokea nasapoti tu aisee .. ndizi nyama lazima ukubaliane na matokeo ya kuvimbiwaHaya...! Nisije ona hapa unasupport single mother..!
Hahahah..! Nimekubali omba sana! Usikuwa km under 25 but tayari single mother wanakimbilia kujirahisisha..!kama ikitokea nasapoti tu aisee .. ndizi nyama lazima ukubaliane na matokeo ya kuvimbiwa
sawa mkuuHahahah..! Nimekubali omba sana! Usikuwa km under 25 but tayari single mother wanakimbilia kujirahisisha..!
Kumezuka wimbi la wadada kutopenda vidume wao wavae condom huku tabia ya watu kuwa na michepuko ikiota mizizi..!
Naongea kwa uzoefu nina matukio km matatu hivi napambana na upinzani wa akina dada wakipinga kufanya ngono na condom sababu zikiwa ni kupunguza utamu wakidai ikiwa kwenye kasha hainogi, mara condom zina waletea fungus, wengine wakienda mbali na kudai hazisaidii chochote km ukimwi utapata tu kwa bahati mbaya.
Sasa nyie wadada hamjui kuwa UKIMWI na magonjwa ya zinaa yapo??? Pia vipi mimba zisizo tarajiwa..???
Ebu tuwekane sawa..! maana wengine wanadai kijoto cha sperm kina raha yake ebu tuambizane ukweli hapa....!
Vyakunoga ndivyo huwa vinatuponzaa..! Vipi hiyo thread nimeona jamaa wameaapa dk mbili hujaridhika shauri yako..! Hahahah...sawa mkuu
We mdada acha hizo kuchepuka mwanaume kwenue ndoa ni sunaa..!UKIJUA KUNA UKIMWI USITEMBEE NJE YA NDOA YAKO AMA LA KUWA NA MPENZI MMOJA MNAE AMINIANA BAADA YA KUPIMA NA KIJIDHIHIRISHA MKO SALAMA. ACHA KUCHEPUKA MCHEPUKO SIO DILI 🙂🙂🙂🙂
CONDOMS YALE MAFUTAFUTA(LUBRICANTS) YA MPIRA NI KWELI WENGI YANAWALETEA FUNGUS SASA WEWE UPATE RAHA MWENZIO APATE KARAHA BAADA YA TENDO LENU.
SUALA LA MIMBA FATA KALENDA YA MKEO AU MPENZIO UKIONA HUWEZI BASI MWAGA NJE UTAZUIA MIMBA ZISIZO TARAJIWA.
yule jamaa ni mchoyo na kinanilii chake ha ha ha haVyakunoga ndivyo huwa vinatuponzaa..! Vipi hiyo thread nimeona jamaa wameaapa dk mbili hujaridhika shauri yako..! Hahahah...
Mkuu naona unataka kuniharibia soko hapa..!Wangapi wamekataa kondom ulivyokuwa unawanjunja
We mdada acha hizo kuchepuka mwanaume kwenue ndoa ni sunaa..!
INEVITABLE INDEED😉😉😉😉😉Jamani acha utani tutakufa km kuku wenye kideli tuweni makini...! Sometime kuchepuka ni inevitable...!
Tangia inipasukie nikiwa natafuta goli la 3 nisawazishe situmiagi tena hyo miplastiki nikuomba Mungu tu aniepushe na magonjwa " ngozi2ngozi mbelekwambele
Nimeipenda sana ile; tumechoka kuombwa hela ili tupewe tukisha toa pesa afu tunaambulia adhabu ukimkuta mtu mijasho kibao mpaka hurumaa..!yule jamaa ni mchoyo na kinanilii chake ha ha ha ha
Mkuu vaeni helment kwenye ajali inasaidia mkuu..Tangia inipasukie nikiwa natafuta goli la 3 nisawazishe situmiagi tena hyo miplastiki nikuomba Mungu tu aniepushe na magonjwa " ngozi2ngozi mbelekwambele
Inategemea na njia mkuu" kuna njia nyingne uko peke yko amna magari uvae helment ya nini?Mkuu vaeni helment kwenye ajali inasaidia mkuu..
Unashangaa nini jana nilipiga mtu tatu bila bila mpira kwenda kati chezea marijali sisi..! Ndani ya three hrs mtu alikula 8, hapa nakunywa supu tangu asubuhi...GOLI LA? KHAAAAA
UNAWEZAJE JUA KA UKO PEKE YAKO ?Inategemea na njia mkuu" kuna njia nyingne uko peke yko amna magari uvae helment ya nini?