Jamani ntamuachaje huyu msichana?

Dr.Ven

New Member
Oct 14, 2011
2
0
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
 
Mbona unampotezea muda! sema naye, mwambie ukweli japo una uma lakini ni bora ajue mapema ili ajipange kivingine.
 
Hakufeli ila sema hakufanya vizuri mitihani yake.Then inaonekana wewe ulimpa ma HOPE wakati ule kwamba usingemtupa,ndio maana sasa anakuganda.Ama tuseme labda unamkataa kwa sababu "alifeli" kama unavyodai?Any way mwambie ukweli sasa ili asipoteze muda wake kukufikiria wewe.
 
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.

Karibu jukwaani....
 
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke

mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu

weka namba ya simu ya huyo mdada hapa

ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..

hakuna alieweza.....

why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....

in reality unaweza kukuta its the opposite......

can you????????
 
Hahaha! Rafiki acha ku-bust people's bubble lol! Tuseme hata wakiweka namba hapa cycle si itakua ile ile ya kuchezea dada wa watu ? Waoaji wenyewe wapo hapa kweli ?
 
Tatizo ulishamalizana nae. Hata kwenye ndoa hivo hivo unamchoka mnaanza kutoelewana. Oa huyo mtoto wasomi wa chuo wana linga sio wa kuoa.
 
Dr. Ven waweza ona kama tumekuvamia saana na tatizo lako BUT kwa kweli post ambazo zafanana na zako zimekua ni nyingi na zinachosha... maana zimekua kama mzaha vile... Kama una mwanamke humpendi na wajua kabisa humpendi... Kuwa wazi kuliko kumpotezea mda...

BTW post ya kwanza inatakiwa walau upige hodi kwanza kua Jukwaa la Utambulisho spesheli kabisa kwa ajili ya wageni... Hata hivo karibu saana.
 
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke

mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu

weka namba ya simu ya huyo mdada hapa

ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..

hakuna alieweza.....

why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....

in reality unaweza kukuta its the opposite......

can you????????

Kaka kuongea ukweli kusumbuliwa raha hahahaha ndo maana watu wanafeli hyo test yako... Mtu anaekusumbua akiacha kukusumbua we ndo unaanza kuwashwa tena!
 
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke

mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu

weka namba ya simu ya huyo mdada hapa

ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena..

hakuna alieweza.....

why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....

in reality unaweza kukuta its the opposite......

can you????????

Umemaliza kila kitu...
 
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.

Siku nyingine ukiingia himaya za wa2 unabisha hodi sawa? utakuja firika kwnye himaya z wa2! nyambafu.
 
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
duh! wanaume mungu awaepushie jehanam tu mana loh! yani mwanzo ulimpenda sasa yy kakuweka moyoni long ivo sasa wamuona amekuganda nyie mwataka wasichana wa aje mana hamueleweki ujue..........ukimpata akitulia na kukupenda unasema kakuganda na ukipata ambaye hakupendi ila ww wampenda unasema kicheche sasa tuwaeleweje ...........ingekua mm huyo dada haki ya nani huniachi yani kukusubiri kote huko kulaleki mungu shahidi nakushusha bushaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki walahi vile nyambafuuuuuuuuuuuuu
 
Wehu mwingine hauwezi kugundulika hospitalini! Yaani post ya kwanza ni ngono tuuu, lol!

yawezekana kabisa kumuona mwenzako ni mweu kumbe wee ndo mweu, kwani mtu si anapost kulingana na mahitaji yake au nyie ndo mnalazimisha kupost habari hata ya miezi mitatu nyuma ili muonekane waelevu. yawezekana haupo ktk ulimwengu wa mapenzi so u dont know its real value!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kila mwanaume anaekuja hapa jf na kulalamika
kuna mwanamke 'anamsumbua' na yeye hampendi huyo mwanamke

mimi huwa nawa challenge kitu kimoja tu

weka namba ya simu ya huyo mdada hapa

ili vidume vingine vimfuate na kumfanya asikusumbue wewe tena
..

hakuna alieweza.....

why? sababu most of time wavulana huwa na 'fantasy za kusumbuliwa na wadada'....

in reality unaweza kukuta its the opposite.
.....

can you????????
una akili sana ww cjui kwann hujagombea uraisi loh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom