Jamani ntamuachaje huyu msichana?

Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
kweli we cjui nikuiteje mana nashindwa hata kuwaza unawaza nn na hiyo elimu yako sasa unauliza nn hapo kwani hujui ka utamuumiza koz yy kakaa mda wote huo umepiga 4m5 na 6 zen chuo cjui miaka mingapi yy yuko tu lazima umuumize tena kishenzi ............ungemuambia mapema kabisa na unavozidi kuchelewa ndio mazara yanakuja kua makubwa zaidi ..............alafu ww unandevu si ndio wakati kuna watu hawana ndevu wanaomba ziwaote hata kama zikiwa na mvi tayari yy hajali mradi awe nazo na kufanya maamuzi sahihi
 
duh! wanaume mungu awaepushie jehanam tu mana loh! yani mwanzo ulimpenda sasa yy kakuweka moyoni long ivo sasa wamuona amekuganda nyie mwataka wasichana wa aje mana hamueleweki ujue..........ukimpata akitulia na kukupenda unasema kakuganda na ukipata ambaye hakupendi ila ww wampenda unasema kicheche sasa tuwaeleweje ...........ingekua mm huyo dada haki ya nani huniachi yani kukusubiri kote huko kulaleki mungu shahidi nakushusha bushaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki walahi vile nyambafuuuuuuuuuuuuu

Punguza munkari basi ustaadhati, jazba hazifai hivo..
 
Wewe huna haya wala hujui vibaya. wewe ni miongoni mwa wavulana ambao huwaharibia maisha wasichana na baadae kuwabwaga. Umemshawishi binti wa watu ukazini nae kisha kwa sababu umesoma zaidi yake sasa humtaki umemkosea mungu na jamii kwa ujumla unamdhalilisha dada wa watu kwa kujifanya wewe ni bora kuliko yeye mbaya zaidi unataka kutushirikisha katika umaluuni wako. Haufai kanisani , haufai msikitini
 
ukikaa kimya utakuwa umefanya vibaya kwa kumpotezea muda,cha msingi mwambie mapema ili nae apange maisha yake mapema.kama moyo wako haupo kwake,husimchukue kabisa maana utamtesa baadae.ni hayo tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom