Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Waoooohh.... Mtambuzi nasubiri zawadi yangu.
Last edited by a moderator:
Naruhuisiwa kujitaja?taja basi ni nani huyo?
Waoooohh.... Mtambuzi nasubiri zawadi yangu.
Asprin hivi huwaga unafikiria nini? lolest yaani umeniacha hoi kwa aya mapicha sijui wanao wakoje kama si katuni huko home.Ndoa Ndoano - YouTube
Hapa Ronn M akichat na jeneneke
Hapa jeneneke akielekea kuvishwa pete (magauni mengine yanawashaga makalio, khaa!)
Hapa baada ya makubaliano kuwa Ronn M afanye mazoezi ili apunguze uzito
Hahahaha@Remmy bana, haya ngoja princess enny na ummu kulthum wamalizie kukufunda ndo uende kuchukua zawadi yako kwa Mtambuzi.
Waoooohh.... Mtambuzi nasubiri zawadi yangu.
:biggrin1: yaani acha tu nilivonahamu na safari hata nikipewa nafasi kwenye buti ya gari nitaingia
atakaye patia kweli atakwenda seluu si matani kula bata ila peke yake. jthdn kutaja basiii
Ndoa Ndoano - YouTube
Hapa Ronn M akichat na jeneneke
Hapa jeneneke akielekea kuvishwa pete (magauni mengine yanawashaga makalio, khaa!)
Hapa baada ya makubaliano kuwa Ronn M afanye mazoezi ili apunguze uzito