hongera kwa kushiriki jaribu tena.
atakaye patia kweli atakwenda seluu si matani kula bata ila peke yake. jthdn kutaja basiii
nipo ila hujaapatia bana ungepata fax ungeokea sasa hivi
ummu kulthum mekumisije mpendwa!!!! Eid Mubarak:A S 465:wifi pole sa unamfeel kivip hebu funguka basi.......
hapana ila sitak ajibu tu manake ana bifu na mimi huyu.kakimbia mechi zangu .
anapenda sana chit chat na MMU but pia ni mtu wmasihara sana na ndicho ninacho mpendea zaid manake he is never serious kabisa.