Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,810
:biggrin1: hongereni jamani sa hiyo trip ya kwenda seluu ni ya mmoja au ni one in two? :happy:
Asante! Hata najua basi....! Nipo busy Leo naserebuka na ushindi Igunga.
:biggrin1: hongereni jamani sa hiyo trip ya kwenda seluu ni ya mmoja au ni one in two? :happy:
Hahahaha Remmy bana, haya ngoja princess enny na ummu kulthum wamalizie kukufunda ndo uende kuchukua zawadi yako kwa Mtambuzi.
![]()
Hahahaaaaaa, nimevua, niko peku nicheze vizuri kwaito.
Maandamano kila sehemu, hahahaaaaaaa, mie kijukuu cha mtume.
What? Mpinge hukumu, heheheeeeeeee...wakati Magufuli alikuwepo, Rage alikuwa na bastola.Igunga yenyewe tumepanga kuandamana kesho kupinga hukumu ya jaji lol!
What? Mpinge hukumu, heheheeeeeeee...wakati Magufuli alikuwepo, Rage alikuwa na bastola.
Asante! Hata najua basi....! Nipo busy Leo naserebuka na ushindi Igunga.
Asante! Hata najua basi....! Nipo busy Leo naserebuka na ushindi Igunga.
Nimebonyeza thanks...I tell you I didn't know my writings touch some people out there...labda kwasababu ya jokes na mizaha mizaha yangu. Au umemiss maandishi kwa maeneo gani sweetlady, teh teh tehAfu nilikutaja basi tu vile nilikuwa nimekumiss lol.....nilitaka ujitokeze niuone mwandiko wako!:flypig:
Nimebonyeza thanks...I tell you I didn't know my writings touch some people out there...labda kwasababu ya jokes na mizaha mizaha yangu. Au umemiss maandishi kwa maeneo gani sweetlady, teh teh teh
Huwezi amini sweetlady how serious I take this comment! It mean alot and thanks...pengine naweza kuanza kuwa kadingi so busara lazima niilazimishe
Hujaniona nikiwa na Konyagi kichwani...teh teh teh...acha kabisa
:happy: hongereni we utakua cdm full yaani napata picha
Kama ni ndege haya uende salama ila kama ni gari mi na charming lady tumeshaomba namba kwenye gari aisee usitusahau :happy: