jamani nisaideni hapa ...

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
jamani wana chit chat humu jamvini kuna mtu namfeel sana ila sijui ni nani ila si kama wa kumoyo manake Kaizer ni zaid yake, na si kama wadogo manake Excellent, mbombinho, Eiyer platozoom na Smile wananipafaraja. si kama mwanangu manake Ronn M ni pekee na wala si kama ma shostito manake Kongosho, King'asti @, charminglady Kipipi, sweetlady Erotica na wengine wote wanatosha sana na si kama ma kaka wangu wa ukweli manake Mr Rocky, BAK, SnowBall, Azimio Jipya, mito, cartura na wengine wanatosha pia. si kama dada mkubwa Remmy wala mama mzazi kama Mamndeny wala si kama msiri wangu cacico she is worth that a miilion times.

mtu huyu namfell tu ila sijui nimweke kundi gani sasa nataka mumtaje nyie ajue kwamba mimi nanmfeel na musuggest cheo chake kwangu. erick b52 na Bishanga nategemea busara zenu.

ujumbe ninaompa siku ya leo idi pili ni................sifa ya moyo tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu nimesha mjua ngoja niandae documents fulan ntamtaja! Nikimtaja bila ushahidi uto amini!
 
yaani nimekukosa hadi imebidi nikuite kwa stail hii uliekwa kinyumba na wagogo nini? manake hao naskia wamekeketwa so wakikukamata ni full mkuno hadi kieleweke.

Hawaniwezi nilikuwa pande nyingi A-town, marangu,mwika n.k.................! hebu nipe mapya ya humu
 
Hawaniwezi nilikuwa pande nyingi A-town, marangu,mwika n.k.................! hebu nipe mapya ya humu

ha ha ha hah! hawakuwez tania wagogo weye, haya mpya nitajie kwanza ninaye mfeel humu jamvini. niko nachungulia kwa opo nakusubiri.
 
Aaaah! Liwalo na liwe ni na nii bhan...........
Lakini ngoja nimalizie kupanga ushahidi vizuri maana kuna majina yamegongana hapa na mimi nataka nitaje mmoja!

Kuwa mvumilivu!

mtaje basi jamani mbona hivyo lkn?
 
Aaaah! Liwalo na liwe ni na nii bhan...........
Lakini ngoja nimalizie kupanga ushahidi vizuri maana kuna majina yamegongana hapa na mimi nataka nitaje mmoja!

Kuwa mvumilivu!

khaaa! inaelekea wewe utakuja na nondo za kufa mtu lol! laba waweza jinyakulia tiket ya kwenda seluu game reserve manake mshindi ndo ataenda na reservation ishafanywa kwa Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
atakaye patia kweli atakwenda seluu si matani kula bata ila peke yake. jthdn kutaja basiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom