EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,637
Watu wengine wanaonewa wanaitwa popoma,lakini wewe ukiitwa popoma,ushangilie na umnunulie hata kasoda aliyekuita popoma, maana umestahili
Msaidie mapema kabla hajatapeliwa, mwambie indirect hata kwa kupiga nae story kuhusu utapeli wa aina hii. Utakua umetenda jambo jemaKuna jirani yangu namuona anakaribia kutapeliwa na watu wa design hiyo lakini mwenyewe anafanya siri.
Hata kama kuna nyaraka kama unaona unapewa PESA ndefu bila kutolea JASHO STUKA mapema, Wazungu wanasema "The deal is too GOOD to be...". Watu waligushi paylist ya benki wakitaka kumtapeli muuza bia za jumla itakuwa BL, wanatengeneza kirahisi kabisa, Wamelizwa wengi sanaIshu zozote zinazohusu UN epukana nazo
Ishu zozote zinazohusu biashara na mtu ambaye hamfahamiani epukana nazo
Ishu zozote za kutumiwa mzigo bila nyaraka kisha unaombwa kwenda kuutoa epukana nazo
Ishu zozote zinazohusu biashara za mtandaoni na mtu usiyemfahamu vema epukana nazo
Wengi wamelizwa na wengi bado wanalizwa na wengine wataendelea kulizwa
Duniani hakuna uaminifu kama huo
Jr![]()
Aksante nimejifunza kituPole kwa kutapeliwa kijinga, hivi unaliavipi mzigo ambao huna document zake? Hivi huwa hausikii kitu kinaitwa GOVERNMENT ELECTRONIC PAYMENTS GATE WAY (GEPG) yaani mfumo wa malipo ya serikali kwa njia ya electronic? pole sana jifunze siku nyingine kuwa makini hata jirani yako anauwezo wa kuweka profile ya mzungu akajifanya anaishi Ulaya au Amerika kumbe ni mgogo/Mchaga jirani yako.
mshauri asitapeliwe km mimiKuna jirani yangu namuona anakaribia kutapeliwa na watu wa design hiyo lakini mwenyewe anafanya siri.
Sikupewa pesa ndefu km unavyofikiri bali hiyo pesa ilikuja ili aweze kufanya investment yake na pia nilimwamini kujuwa ni mtu gentlemen kumbe ni tapeli la kimataifaHata kama kuna nyaraka kama unaona unapewa PESA ndefu bila kutolea JASHO STUKA mapema, Wazungu wanasema "The deal is too GOOD to be...". Watu waligushi paylist ya benki wakitaka kumtapeli muuza bia za jumla itakuwa BL, wanatengeneza kirahisi kabisa, Wamelizwa wengi sana
Wala mimi sikulaumu bali ninatoa tahadhali kwa kila mtu humu, ukiona mtu anakuletea deal rahisi STUKA hasa kama humfahamu. Haiwezekani from no where mtu akuletee deal nzuri jiulize kwa nini hajawapa marafiki zake. Anyway sometimes unaweza win lakini kuwa makiniSikupewa pesa ndefu km unavyofikiri bali hiyo pesa ilikuja ili aweze kufanya investment yake na pia nilimwamini kujuwa ni mtu gentlemen kumbe ni tapeli la kimataifa
Pole sana ingawa hujasema umetapeliwa kiasi cha Dola/Tsh ngapi?Aksante nimejifunza kitu
Siku za karibuni wadada wengi wa kibongo wamepigwa na matapeli wanaoshirikiana na wazungu au wanaigiza wazungu.Pole ila next time usipende vya bure ndugu, mtu umekutana nae mtandaoni hakujui humjui ghafla akataka akutumie mashine na hela ukamuamini kabisa?? Hta hukujiuliza why me?
Au ulivyoskia mzungu ukadata ukajua hela imelala hapo
Kuna mambo mbona hata haihitaji kwenda chuo kuyagundua
Mzungu!!! wakati ni huyo huyo jamaa anaongea kingreza kibovu.!
Kwa iyo ulivyopata dili hilo la hela ukakaa kimya hukumwambia mtu ili utajirike peke yako sio!
Somehow elimu pia inahitajikaEt mzigo unakuja na ndege za UN. Hiv toka lini kampuni za kusafirisha mizigo zkatumia ndege za UN?
Sent using Jamii Forums mobile app