- Thread starter
- #121
Ni ukweli hakikaPole mkuu mtakubaliana na mm , kwa sasa mm niliekataa...kabisa !! Kuhusu kuamin ...mawasiliano na mtu nisiyemjua !! Halafu eti akufadhili kirahic tu hiyo haipo
sent from toyota Allex

Yaani wabongo mkisikia mzungu basi mnajua ela ipo aseeh..
Imeisha hiyo mkuu
Nashukuru kwa kusema ukweli na ndiyo maana nimekuja huku jukwani ili watanzania wengine wasitapeliweNakuhakikishia walitapeliwa, na wao sio wa kwanza.
Hali ni mbaya sana kwa sasa.
Aksante kwa ushauri nitafanya hivyohiyo namba na simu usajili pia .....kuna mengi utawapata tz polisi watakusaidia cyber
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni ukwewli hakika hii ni syaili nyingine ya kiutapeliMatapeli yamegundua dawa ni kujifanya wazungu ilihali ni vijana wa Tz au Kenya
Hivi kuna watu bado wanaibiw kwa hii style jamani?Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine
Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.
Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.
Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.
Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu
Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi hawa watu unawafahamu??Tesha
Mena
♂
♂
♂
♂
AksanteMwanangu Kangungo,
Alipata dili la kupiga mpunga mrefu ndani ya 24 hours akafanya siri..
Na yeye Akazuliwa gharama za kufaulisha mzigo kedekede kama mtoa mada hapa.
Hela yenyewe ya kufaulisha mzigo alikuwa hana..
Ila kwa sbb dili lilimtoa mate, anaona kabisa ukwasi huu hapa tena within 24 hours.. 😂😂😂
Akasema usinitanie weeh..!
Akawachek wadau kadhaa fasta wamkopeshe kwa ahadi ya kuwapa riba ya maana..
Hata kama ni wewe, mtu anakuambia nikopeshe 100,000/= kesho nakurejeshea 130,000/= huwezi acha..
Akakusanya M kadhaa..!! 😂
Kesho Ilipofika Kangungo macho yalimtoka jaman..
Ninavyozungumza sasa hivi, Kangungo boom lake likitoka analifwd kulipa deni..!
Alikuja kuniambia maji yalishamfika shingoni..
Nakubaliana na ushauri wa kutofanya siri.
Pole sana Mtoa mada.
Ni ukweli AksanteYaani we jamaa, mimi kila siku hao wananitafuta kwa whatsapp..., kanuni 1 itakusaidia, hakuna cha bure
subiri atakurudishia pesa zakoKuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine
Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.
Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.
Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.
Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu
Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu!!! wakati ni huyo huyo jamaa anaongea kingreza kibovu.!
Kwa hiyo ulivyopata dili hilo la hela ukakaa kimya huku mwambia mtu ili utajirike peke yako sio!

vipi h
vipi hawa watu unawafahamu??
Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine