- Thread starter
- #41
Aksantepole mkuu
Aksantepole mkuu
Nimeeliza kila kitu hakuna nilichoacha na ndiyo maana nimetoa hizo number ili mwingine asiingie mtegoni kama yaliyonisibuKama umetapeliwa nyoosha maelezo ,acha kupindisha pindisha.
Mkuu umepotea....Pole sana
ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ![]()
Ndo huyo huyo tapeli mwenyeweView attachment 1386840
Hapo mzee company profile hustukia mzee ya 2-8 people na yupo 10years mzee View attachment 1386841
Mimi sipo kihivyo km unavyofikiri, ni mwuungwana na mstaarabu na nisingeweza kufungua kiwanda mwenyewe,,,,Nimewaza hivi pia, alijikausha apate machine kimya kimya afungue kiwanda,baada ya mambo kubuma ndyo anatushirikisha, huenda angeshare hilo dili angepewa ushauri na alert asingepigwa.pole yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipo kihivyo km unavyofikiri, ni mwuungwana na mstaarabu na nisingeweza kufungua kiwanda mwenyewe,,,,
Nipo chief, kuna majukwaa yamenifichaMkuu umepotea....
















Wajinga hawaishi mzeeDunia ya sasa unatapeliwa kijinga hivyo?
Ure still have time to learn in this world unaonekana umgeni hata washauri huna..