Jamani nimetapeliwa

Jamani nimetapeliwa

Mzungu!!! wakati ni huyo huyo jamaa anaongea kingreza kibovu.!
Kwa hiyo ulivyopata dili hilo la hela ukakaa kimya huku mwambia mtu ili utajirike peke yako sio!
Hii imewah mtokea jamaa angu tukiwa tunasoma IFM, alipokeaga simu jamaa akajitambulisha kua alikua akfahamiana n uncle wake, Et yy yuko site ss Kuna vipuli sijui vy nn jamaa yangu avipokee Dar then avipost kw mshikaji ila cost yote y kuvipokea itakua juu y huyo jamaaa yangu,Kisha atakapokua ana vipost hao watakaokuja kuvchukua wataleta pesa ya jamaa yangu n cha juu, aliahidiwa pesa ming Kama 3M hiv, na hapo bumu ndo lilikua limetoka

Sasa Siku hiyo tupo chuo nakaona kamtu kako busy, namwambia dogo mbona huelewek ww, akanambia dogo naelekea mwenge ngoja nikirudi,akamchukua jamaa mwingine wakaenda nae, baada y kufika mweng jamaa taaap akatua n gar akamwambia ampe lak 9, wakajichanga wakampa, akawapakia kweny gar had location inanyumb nying ndan getin Kuna mlinzi ili wakapew huo mzigo, kufk getin yule jamaa kawaach getin kw mlinz kaingia ndan

Kwan alionekana tenaaa, ikawa imetoka hiyoo, Jamaa karud getto n mawazo tuu aliiona akinambia hatopiga mpunga mwingi alitaka atajirike peke ake, mm ndo nikawa namlisha geto sasa
Izi mambo z mizigo cjui vipuri ni uongoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine

Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.

Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.

Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.

Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu

Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni zumbukuku, tulia uliwe 0716
 
Siku za karibuni wadada wengi wa kibongo wamepigwa na matapeli wanaoshirikiana na wazungu au wanaigiza wazungu.
Wanaanzisha urafiki kwenye mitandao kisha whatsapp unamuona kabisa.

Mdada anaongopewa kapendwa na mzungu anataka amuoe.
Anamwambia kamtumia zawadi kama mleta mada, kisha anaambiwa mzigo upo Zanzibar au mbali na mji wa mtapeliwa, anaambiwa alipie pesa za kuondoa mzigo na kodi kisha aende akachukue mzigo.

Wadada kwa tamaa wanawaonesha wenzao wamepata mchumba mzungu na picha za zawadi.
Pesa ya kulipia mzigo wanakopa madeni makubwa na kuuza vitu. Mwisho aibu kubwa huko ugenini Zanzibar wanapojikuta wamepigwa, hawana nauli ya kurudia wala mahali pa kuishi.

Jamaa yangu kawasaidia wadada watatu siku kama 7 zilizopita.
Tamaa mbele mauti nyuma
 
Japo kwenye kutapeliwa hakuna mjanja ila kwangu mimi inabidi ujiongeze sana sana! Mimi hata Marafiki niliokutana nao from JF sijawahi kuwaamini, never! Yaani najua dakika yoyote naweza kupigwa
 
Haya mambo ya mitandao nilianza kukutana nayo mwaka 2003 miaka hio waliliza watu wengi sana na email zao zile za September 11, sijui wanataka kukutumia dollars... Never
 
Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine

Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.

Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.

Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.

Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu

Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine utatumwa mzigo wenyewe madawa ya kulevya, na ukishalupia tu ndio unakamatwa Kama ndio muagizaji wa huyo madawa! Hebu amkeni ktk ujinga huo...hakuna free lunch siku hizi atii!
 
hawa matapeli washenzi sana ila kwa mjanja lazima utashtuka tu, mi huwa sikatai dili ile wakianza kuleta zile pigo zao za kutaka hela sijui tuma kwenye namba hii ndipo napowaumbua kuna mmoja alijichanganya akataka kuniibia ki-style eti kanipanga kuhusu mzigo unaokuja tupige hela nzuri ulipofika akadai kapata dharura hivyo hela imepungua ila atanirudishia akatuma kama laki 2 nami niongezee laki 3 afu nitume kwenye namba fulani ya mtuma mizigo,

usipokuwa makini unaweza sema ni kweli, nikasema potelea pote nikatoa dakika hiyo hiyo na nikakausha jamaa hazijapita hata dakika 10 alivyoona kimya akajaribu kurudisha kwa mtandao wakakuta akaunti empty, nikapigiwa hadi na watu wa simu wakasema kuna mteja katuma hela kimakosa na umeitoa fanya urudishe vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.

nikawajuza huyo ni tapeli tu, nimeshazungumza nae vya kutosha hakuna cha wrong number wala nini alikuwa ananiaminisha ili anipige, nikasema fanyeni mnachotaka location yangu mnaijua nipelekeni polisi halafu mdai aje kudai haki yake huku nikijua fika mazungumzo yetu nimerekodi,na screenshot nimepiga....
hasara niliyopata Akaunti ya hiyo simu pesa nilifungiwa na ukituma hata 100 inazuiwa...ila yule boya hajajitokeza mpaka leo
 
hawa matapeli washenzi sana ila kwa mjanja lazima utashtuka tu, mi huwa sikatai dili ile wakianza kuleta zile pigo zao za kutaka hela sijui tuma kwenye namba hii ndipo napowaumbua kuna mmoja alijichanganya akataka kuniibia ki-style eti kanipanga kuhusu mzigo unaokuja tupige hela nzuri ulipofika akadai kapata dharura hivyo hela imepungua ila atanirudishia akatuma kama laki 2 nami niongezee laki 3 afu nitume kwenye namba fulani ya mtuma mizigo,

usipokuwa makini unaweza sema ni kweli, nikasema potelea pote nikatoa dakika hiyo hiyo na nikakausha jamaa haijapita hata dakika 2 alivyoona kimya akajaribu kurudisha kwa mtandao wakakuta akaunti empty, nikapigiwa hadi na watu wa simu wakasema kuna mteja katuma hela kimakosa na umeitoa fanya urudishe vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.

nikawajuza huyo ni tapeli tu, nimeshazungumza nae vya kutosha hakuna cha wrong number wala nini alikuwa ananiaminisha ili anipige, nikasema fanyeni mnachotaka location yangu mnaijua nipelekeni polisi halafu mdai aje kudai haki yake huku nikijua fika mazungumzo yetu nimerekodi,na screenshot nimepiga....
hasara niliyopata Akaunti ya hiyo simu pesa nilifungiwa na ukituma hata 100 inazuiwa...ila yule boya hajajitokeza mpaka leo
Hahahaa ulimkomesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom