Jamani nimetapeliwa

Jamani nimetapeliwa

Dahh pole sana mkuu, wamekulamba $$ ngapi mbona unaficha
 
siku hizi usajili wa simu ni kwa vidole kama na wewe unataka kumnyoshaa mbona easy tu unampata uyo
 
Mzungu!!! wakati ni huyo huyo jamaa anaongea kingreza kibovu.!
Kwa iyo ulivyopata dili hilo la hela ukakaa kimya hukumwambia mtu ili utajirike peke yako sio!
Nimewaza hivi pia, alijikausha apate machine kimya kimya afungue kiwanda,baada ya mambo kubuma ndyo anatushirikisha, huenda angeshare hilo dili angepewa ushauri na alert asingepigwa.pole yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo umetapeliwa nn mbona sion na huyo mama ulimtumia sh ngap?

Ukiamua kuweka vitu public weka kila kitu wax ili watu wajue pakuanzia n wap kwawewe au mwingine
 
wakati ule wa utapeli kwa kupitia pembejeo ulikuwa wapi?
Na itakuwa hukushirikisha watu mbona wangekustua
 
Screenshot_20200313-124733.png


Hapo mzee company profile hustukia mzee ya 2-8 people na yupo 10years mzee
Screenshot_20200313-124905.png
 
Ishu zozote zinazohusu UN epukana nazo
Ishu zozote zinazohusu biashara na mtu ambaye hamfahamiani epukana nazo
Ishu zozote za kutumiwa mzigo bila nyaraka kisha unaombwa kwenda kuutoa epukana nazo
Ishu zozote zinazohusu biashara za mtandaoni na mtu usiyemfahamu vema epukana nazo
Wengi wamelizwa na wengi bado wanalizwa na wengine wataendelea kulizwa
Duniani hakuna uaminifu kama huo

Jr
Nashukuru sana kwa somo hili hakika nimejifunza kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom