Jamani nimepokea Kadi ya Mwaliko wa hii kitu, NIENDEE!!!

Once you are a confirmed Vajo...you get a Certificate..in other words you become a CERTIFIED Virgin!!!...he he he​
 
Wala siyo kweli kwamba King Mswati III eti huwa alzima achague mke kwenye hizo ngoma! Maana ingekuwa hivyo sasa hivi angekuwa na wake wengi kuliko hao alio nao sasa hivi, hii ngoma kila mwaka inachezwa!!
Mkuu ni kweli mfalme anachagua kila mwaka na ana wake 13 mpaka sasa na baba yake aliacha wajane zaidi ya 40.
 
mswati anatakiwa kuchinjwa kama kuku
ni nini hiki?
kwanini awadhalilishe kina mama
ana haki gani haswa
shame on him

Bana haya mambo nikigeugeu sana. Wazungu wanahalalisha biashara ya Ngona na wanatoza kodi hatuwalaani tunaona poa tu. Hawa jamaa ni tamaduni yao na wanafeel proud of it, w r cursing dem why?
 
bc9106287566f00f.jpg


27dcfd2298fae936.jpg


7bec13c310f0a8a4.jpg




natamani kukusindikiza lkini jinsi ninavyo kijua KIUNGO changu kitakatika kwa kuwa juu muda wote, safari njema
 
Mkuu ni kweli mfalme anachagua kila mwaka na ana wake 13 mpaka sasa na baba yake aliacha wajane zaidi ya 40.

mkuu sio lazima na sio kila mwaka amekuwa anachagua ingawa mila inamruhusu kuchagua. Tangu aoe mke wa 13 mwaka juzi hajachagua tena hadi sasa ila ngoma hii inafanyika kila mwaka
 
Back
Top Bottom