Jamani...Nauliza tu

Wengine ndio raha zetu hizi.......tunalipia tu maraha hatuna tabu,....kwani mbona hata kama wahitaji kupata raha za misosi unanunua??!!!!!! Maraha gharama queen, shurti yalipiwe ati.

tena mkuu huna hata haja ya kujitangaza kama leo una mshiko, kwani dada zetu hawa huwa wanajua kweli kunusa, machale yao yamekwenda shule kwelikweli!
 
Ila wanaobembeleza na wao huwa wanakuwa na tekniki zao wakijua unazo utabembelezwa hata ukimwambia ukinipa biolojia yako ndio nitanyamza utapewa tu as long as anajua mulungula upo
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctaki
 
......Hahaha ila kusema ukweli janaume linalodeka kupita kiasi hata halipendezi ah.......mi ctaki

Ha ha ha saa zingine inawezekana sio yeye ila ni mapenzi yanayomfanya hivyo hivi haujawahi kuona mwanaume anayelia baada ya kugoma kupewa biolojia
 
Ha ha ha saa zingine inawezekana sio yeye ila ni mapenzi yanayomfanya hivyo hivi haujawahi kuona mwanaume anayelia baada ya kugoma kupewa biolojia

Habari jirani!

Me naomba unifafanulie kutokana na uzoefu wako hivi kwa nini mwanaume akinyimwa biolojia anaweza hata kulia?
 
Sasa MJ1 ukishabembelezwa na The Finest basi unachanganya majina kabisaa....:mad:
Hahahahaha..........sina la kujitetea hapa.

The Finest naye mchakachuaji tu Roya... wewe tu peke yako u msafi karibu kiti hapa IPC
 
Ha ha ha saa zingine inawezekana sio yeye ila ni mapenzi yanayomfanya hivyo hivi haujawahi kuona mwanaume anayelia baada ya kugoma kupewa biolojia
The Finest hiyo ya kwa sababu ya mapenzi naelewa wengine loh............. nilishawahi kuona mmoja akidekezwa basi ikawa kila saa linataka tu lidekezwe akigomewa kidogo anafungasha mabegi loh kazi ikawa kufunga mabegi na kufungua ah mwishowe bidada akayabwaga manyanga.
 
Usichelewe tafadhali. Ila ukigundua kuwa, kabla ya kumega wanaume hubembeleza lakini baada ya kumega hawabembelezi bali wanaliwaza, usimwambie mtu. Waache na wao wafanye utafiti wao. Sawa Wiselady wangue? haya kamata na hii bakshishi yako hapo chini!

Haya naomba sana asiyaone husband, maana mimi nabembelezwa hadi leo hii na uzee huu
Asprin siyo vizuri unajua wengi wataacha kubembeleza baada ya kumega wakidhani kuwa ndo inavyotakiwa.......... wewe kama hubembelezi baada ya kumega ingebaki kuwa siri yako
 
Hahahahahha G umenifurahisha hebu baelezee naona bamesahau. Eti hawabembelezi usiombe umkute jamaa kakosea kama nani yule alokutwa na Simcard ya siri .... mauwa meengi yatabebwa, ice creams n.k ilimradi abembeleza.

sijui hiyo ndo Asprin ameiita kuwa ni kuliwaza........................... mi sijui!
 
Back
Top Bottom