Jamani...Nauliza tu

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo

Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah

By Barnaba THT.

Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?

Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:
 
......:decision:?....:preggers:.......THEN UNA:llama:..AFU ANABAKI....:A S 13:
 
huu wimbo MJ1 unanikumbusha 'kasheshe' flani hivi

anyways ni kweli .....kubembeleza kunaendana na vitendo ndani ya flavor ya upendo.....ial ukiacha kulia ndo ivo tena inabidi kitendo kiendeleee...

Gmorning
 
hahaaa utamu wa mapenzi ! ukiweka kwenye ndoto nayo inakuwaga nzuri kweli maana hashwindi kutagaza safari siku unataka kubembelezwa
 
Please check na katibu mkuu....
Nikitaka kula nalishwa (hii taarab).. :lie:
 
Inategemea unalilia nini ili ubembelezwe!
Kama kuna msiba nitakubembeleza!
 
unabembeleza mara moja .......akijitia kununa unaanza mbele! :tonguez:
 
......:decision:?....:preggers:.......THEN UNA:llama:..AFU ANABAKI....:A S 13:
Sasa Rose ah

Ndio maana nasema nawaachia uwanja maana haya mapenzi siyaelewi kabisa maana yale yanayosifika kama visifa vya mapenzi hayafanyiki si bora wahenga wangeweka wazi tu tutegemee nini tukiingia mapenzini kuliko kutupamba kumbe urembo wa mlima kilimanjaro, juu ice nzuri wakati ndani udongo na miamba ya mawe!!
 
huu wimbo MJ1 unanikumbusha 'kasheshe' flani hivi

anyways ni kweli .....kubembeleza kunaendana na vitendo ndani ya flavor ya upendo.....ial ukiacha kulia ndo ivo tena inabidi kitendo kiendeleee...

Gmorning
haha we acha tu ndio maana nikauliza Best kwani nashindwa hata kushangaa... mfano mdogo weye umebembeleza nyumba ndogo yako wewe, ulipoimimbisha tu umeacha kubembeleza ah!!
 
hahaaa utamu wa mapenzi ! ukiweka kwenye ndoto nayo inakuwaga nzuri kweli maana hashwindi kutagaza safari siku unataka kubembelezwa
chauro..... hahahah ndoto tena? kweli mapenzi hayatabiriki. Naombeni definition ya neno mapenzi .
 
haha we acha tu ndio maana nikauliza Best kwani nashindwa hata kushangaa... mfano mdogo weye umebembeleza nyumba ndogo yako wewe, ulipoimimbisha tu umeacha kubembeleza ah!!

jamani MJ1 acha kunionea....wapi niliposema kwamba nimeacha....
 
Mi huwa nabembelezwa nikiwa na mshiko zikiisha tu kubembelezwa nako kuna isha kabisaaaaaaa.
Ah Fidel unabembelezwa ukiwa na mshiko ina maana weye mwenzetu ukiwa na mshiko unafanya matangazo ka mabango ya mgombea uchaguzi eh?
 
Back
Top Bottom