Jamani naomba kuuliza

pruzangi

Member
Oct 28, 2009
13
0
Ni wapi (studio gani) hapa Bongo ambapo unaweza kupiga picha kwa ajili ya Diversity Visa (DV-2011) Green Card Lottery
tafadhali naomba kuuliza maana nataka kujaribu bahati yangu
 
Hii ndo Bongo bana...We live by HOPES and DREAMS...Huku "Mto wa Mbu" hakuna hiyo service, ningekustua.
 
Ni wapi (studio gani) hapa Bongo ambapo unaweza kupiga picha kwa ajili ya Diversity Visa (DV-2011) Green Card Lottery
tafadhali naomba kuuliza maana nataka kujaribu bahati yangu

bongo ni ngumu! ila we kapige picha popote ila waambie 'wasizumu' na mpiga picha asikae karibu sanaaaaaaaaaaa na 'sura' yako! kisha nitumie nikurekebishie.
 
journal pepe sasa si umpige wewe mbona unaonyesha ni mtaalam wa hivo vitu
hahahahahahaha, sio mtaalamu kivileeeeeee! basi tu! najua huyu mdau hawezi kuja kwetu 'kigoma' sasa inabidi atume tu kwa barua pepe au kama attachement!
 
Back
Top Bottom