Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Nimesoma mtiririko wa maongezi nikajua ni kishkaji flani kipo ghetto na program pendwa kwa jina "YAZZ" Kiki-fake maongezi.
Aliyeamini kama nilivyoamini basi ni mzee wa Coding Nampa hekko.
Aluyeshindwa kung'amua hili basi huyo hata utenguzi wa toto pendwa nao ataamini kama utatokea which is a total lie under a saint oath.
By!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilihisi hiyo kitu though I'm not mtu wa coding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pacha unaulewa mchezo ulivyo.. yaani si unaona nigga alivyolizwa hapo.
Mm demu akiniambia nimsomeshe atanisikilizia kwenye bomba.. wakishapata mafanikio wanamuona mwanaume si lolote wala chochote.

Hawa viumbe waone tu.. anahongwa mke si girlfriend. Anasomeshwa mke si gf, anafunguliwa biashara mke wa ndoa sio gf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mke ambaye unafamilia nae ...!!
 
Kwa tafsiri ya kiswahili imekuaje kuaje mkuu? mi naelewa tu emoji.
Msaada tutani
.
Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
😂😂😂nawe huelewi kama mimi mkuu?
 
Ajali kazini tu kama ambavyo una-invest kwenye biashara fulani lakini inakufa. Utaacha ku-invest kwingine? Hapana, una-invest kwenye biashara ingine ukitegemea itakulipa.
😂😂😂

Aisee unafananisha biashara na mapenzi mkuu?

Si bora biashara utabakiwa na fixed asset!

Ulishasikia mtu anajinyonga kisa kapata hasara ya biashara? Hapana, sasa biashara ya mapenzi hata wachungaji wanajitoa uhai!
 
Wewe hujasikia jamaa alijiua Dodoma baada ya viroba vyake kuteketezwa? Kama una-invest kwa mwanamke 2m ukala hasara na mimi nime invest 2m kwenye biashara tukifail wote tunapoteza 2m.
 
Wewe hujasikia jamaa alijiua Dodoma baada ya viroba vyake kuteketezwa? Kama una-invest kwa mwanamke 2m ukala hasara na mimi nime invest 2m kwenye biashara tukifail wote tunapoteza 2m.
Fine, huyo mwenye viroba jengo litakuwepo na possibility kuweka mgahawa ni kubwa sasa sijui huyu wa mapenzi!
 
Fine, huyo mwenye viroba jengo litakuwepo na possibility kuweka mgahawa ni kubwa sasa sijui huyu wa mapenzi!
Duh usichoelewa nini? Kuna watu wanahonga 2m(anawekeza) na mwingine anawekeza kwenye biashara 2m.
Mwisho wa siku huyu aliehonga anapigwa chini na huyu mwingine biashara inakufa/filisika. Wote wanapoteza 2m. Hamna afadhali hapo ni -2m.
 
Back
Top Bottom