Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

hahaha... QUEEN LADY ni nyok.oo [emoji23][emoji23]

SEGUN marioo aliyenunuliwa hadi sneakers ni nyok.o na nusu [emoji23][emoji23]

Huyo jamaa aliyeachwa ni FA.LA wa kiwango cha lami [emoji23][emoji23]

kwa kuchek convo na huo uandishi hao ni wanigeria ....huko ndiko kuna matapeli wa kiwango cha flyovers [emoji23][emoji23]
We hauwafahamu wanaijeria basi........wanaijeria huwa hawaandiki hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanawake wasio na akili huwa wanajifanyaga wanamajibu ya kishujaa sana....


Sasa kama huyo demu hapo, anavyojibu utadhani alionana na malaika wa mbinguni akampa video ya maisha yake yote hapa duaniani kiasi kwamba akajua kesho yake itakuwaje.....

Sampuli hii huwa hawachukui round wanakwenda feli pazuri sana....

Ubaya huwa haulipi kwa faida sawa na wema.....ukimfanyia mtu ukatili n nafsini mwako ukijua unafanya ubaya kwa makusudi, kaa ukisubiria zamu yako ifike.....MUNGU ni hakimu mzuri sana....hukumu zake anapoitoa hadi mwenyewe unakiri nafsini kuwa uliistahili hiyo hukumu......anakupimia sawa sawa na uovu wako, na atakunyoosha wakati ambao ulikuwa haujatarajia....

Ha ha ha ha ha chezea simu, mpira, chezea nywele ila katu usichezee hisia za mtu mwaminifu kwako maana adhabu utayoipata utahadithia.....

Kuna wanawake sababu ya urembo wake wa sura anahisi its okay kuwachezea hisia wale wanaomtaka bila kujua kuwa unaweza pata gonjwa likakuharibu muonekano na hata wazazi wako wakaogopa hata kukugusa.....na hiyo ni ndani ya dakika kadhaa tu.....acheni maringo yasiyo na maana......kwanini usiishi tu kwa adabu kama binadamu wengine....?!


Kofi moja tu la MUNGU kiburi kitakuisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...dah ad huruma awa watu sio wa kuchat nao wakishazingua dah brother wawatu masikini naomba kama wana JF tumpe pole kubwa
 
Nimesoma mtiririko wa maongezi nikajua ni kishkaji flani kipo ghetto na program pendwa kwa jina "YAZZ" Kiki-fake maongezi.
Aliyeamini kama nilivyoamini basi ni mzee wa Coding Nampa hekko.
Aluyeshindwa kung'amua hili basi huyo hata utenguzi wa toto pendwa nao ataamini kama utatokea which is a total lie under a saint oath.
By!

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana, umenifanya nirudi kusoma, mwandiko ni wa mtu mmoja na kuna mahali connection inapotea kwenye mtiririko wa maongezi.
 
Una akili sana, umenifanya nirudi kusoma, mwandiko ni wa mtu mmoja na kuna mahali connection inapotea kwenye mtiririko wa maongezi.
Haha ndio mkuu....Afu mtu aliyesalitiwa kwa ukubwa ule hawezi kufanya maongezi marefu namna ile....every got gut but holding ones grudges is another case.

#utakula kiburi yako.
 
Haha ndio mkuu....Afu mtu aliyesalitiwa kwa ukubwa ule hawezi kufanya maongezi marefu namna ile....every got gut but holding ones grudges is another case.

#utakula kiburi yako.
kama ndio inamkuta kwa mara ya kwanza lazma ahold on chat kwasabab aamin kinachoendelea yan apo akamroge tu awe tahira 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom