Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Ajali kazini tu kama ambavyo una-invest kwenye biashara fulani lakini inakufa. Utaacha ku-invest kwingine? Hapana, una-invest kwenye biashara ingine ukitegemea itakulipa.
ni kweli,lakini hiyo biashara isiwe ya wanawake(mapenzi)mkuu!
 
Dah mdada mwishoni kaamua kuwa muwazi [emoji3][emoji3] ila sio kwamba jamaa hakujua alijua ila akapuuzia sababu ya mapenzi aliyokuwa nayo kwa msichana wake.
Guys tumia akili ukiwa kwenye mahusiano ukitumia hisia utalia tu kila siku dalili za mtu anaecheat zinajulikana sana tatizo tunapuuzia sababu ya upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu alichukua hela ya ada kaenda kumpa mwanamke, alimnunulia iPhone, na vitu vingine vingi... Halafu kaja kugongewa na a guy alietambulishwa kama cousin.

Investing so much of your time, money and other resources kwa mwanamke ambae haeleweki, lazima uumie tu

Saw this somewhere and I thought I should share.

View attachment 851890

View attachment 851896

View attachment 851895

View attachment 851899

View attachment 851903

View attachment 851906

View attachment 851908

View attachment 851909

Alooo sema mzee ubize ulikua mwingi nawe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu alichukua hela ya ada kaenda kumpa mwanamke, alimnunulia iPhone, na vitu vingine vingi... Halafu kaja kugongewa na a guy alietambulishwa kama cousin.

Investing so much of your time, money and other resources kwa mwanamke ambae haeleweki, lazima uumie tu

Saw this somewhere and I thought I should share.

View attachment 851890

View attachment 851896

View attachment 851895

View attachment 851899

View attachment 851903

View attachment 851906

View attachment 851908

View attachment 851909
Mnawapendaga wanawake weupe acheni wawachune mpaka wawazike bullshit.
hata wakiwanyonya damu ni sawa tu.
wadada wazuri zuri mtakomaa na bado wataendelea kuja nakuja nakuja mpaka ufe kwa presha mwanamke ni yule wakawaida wazuri sio .
kila mara oh oh oh hapana namtaka queen bado atakuja princess this time atakuja kuchukua kila kitu halafu ubaki mtupu huna pakulala wala pakufikia .
 
you 5min wha... mzee hawa madem hawafai yaani leo ndio anajua kua wewe ni 5minute man... yereeeewi
 
Nimesoma mtiririko wa maongezi nikajua ni kishkaji flani kipo ghetto na program pendwa kwa jina "YAZZ" Kiki-fake maongezi.
Aliyeamini kama nilivyoamini basi ni mzee wa Coding Nampa hekko.
Aluyeshindwa kung'amua hili basi huyo hata utenguzi wa toto pendwa nao ataamini kama utatokea which is a total lie under a saint oath.
By!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo emoji anazotumia mdada unaona kabisa ni utani mtupu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambiga kuwa kuhonga si sifa nzuri. Unahonga mke wako tu wa ndoa.. hawa wengine wanakupotezea muda.

Never invest in a woman my friend.. always utakuwa dissapointed always.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pacha niaje aiseee... My bro akimsomesha he is a Navy Officer with 3* ... Jamaa alisomesha demu kuanzia form four. Mpaka Kufanya MD hapo MUHAS ....demu akiwa mwaka wa tatu ALIMKATA MCHIZI KATAKATA .

Bahat nzuri alitushirikishaga bila ivo tungekua tumeshazika.


Ukiwa una demu ambaye bila kuhonga mapenzi hayaendi ,HAKIKISHA HUMPI MOYO WAKO, FANYA NAUHONGE KAMA VILE UNANUNUA MALAYA.

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Back
Top Bottom