Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya

Kwa tafsiri ya kiswahili imekuaje kuaje mkuu? mi naelewa tu emoji.
Msaada tutani
.
Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mmmh!!! i feel so bad for the guy,
but Karma will do it work... he has to be patient.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
You can see kabisa kuwa the lady doesn't care... Ndo maana watu wanaishia kuchomana visu
 
Halafu jamaa anakosea kubishana bishana nae anaongea saaaaaana km mtt wa kike ndio maana hcho kidemu kinajibu kinavyojiskia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Am guessing akikumbuka hela zote alizopoteza na vitu alivyomfanyia , uchungu unamjia. Na watu wengine wakiwa hivyo kukaa kimya hawawezi
 
Am guessing akikumbuka hela zote alizopoteza na vitu alivyomfanyia , uchungu unamjia. Na watu wengine wakiwa hivyo kukaa kimya hawawezi
Haaaaaaaaahaaaaaa mm pia yashanikuta hyo yaani inakera unaramani ukashike katoto ka mtu ukanyongelee mbali ila subra inahitajika sikukumbushia hata jema moja nililowahi kumfanyia sikutukana hata tusi moja kauli ya mwsho naongea nae kwenye cm ilikuwa ucku wa saa tano ypo kwa dume mwenzangu mwenye maisha yke kpnd hcho hata ghetto cna naonekana mshamba tu niliwaambia "kila la kheri na ucku mwema" anataabika hadi leo though sifurahii ila cna namna ya kumsaidia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha... QUEEN LADY ni nyok.oo 😂😂

SEGUN marioo aliyenunuliwa hadi sneakers ni nyok.o na nusu 😂😂

Huyo jamaa aliyeachwa ni FA.LA wa kiwango cha lami 😂😂

kwa kuchek convo na huo uandishi hao ni wanigeria ....huko ndiko kuna matapeli wa kiwango cha flyovers 😂😂
Hahaha mimi kuliponi-touch ni hapa tu, imagine unamnunulia sneakers mchepuko wa girlfriend wako bila mwenyewe kujua, ukigundua unatamani hata uende ukamkate miguu
 
Ila na sisi wadada akil zetu mda mwingine Mungu atusamehe!
Binti hata kudanganya danganya kidogo angalau jamaa apoe, hakuna. You can see kabisa she doesn't/never cared
 
Dah mdada mwishoni kaamua kuwa muwazi [emoji3][emoji3] ila sio kwamba jamaa hakujua alijua ila akapuuzia sababu ya mapenzi aliyokuwa nayo kwa msichana wake.
Guys tumia akili ukiwa kwenye mahusiano ukitumia hisia utalia tu kila siku dalili za mtu anaecheat zinajulikana sana tatizo tunapuuzia sababu ya upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Love is blind....

Nakujipa hope pia, unakuta mwingine anajiaminisha kuwa labda hii ni phase tu, akikaa sawa atatulia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pacha niaje aiseee... My bro akimsomesha he is a Navy Officer with 3* ... Jamaa alisomesha demu kuanzia form four. Mpaka Kufanya MD hapo MUHAS ....demu akiwa mwaka wa tatu ALIMKATA MCHIZI KATAKATA .

Bahat nzuri alitushirikishaga bila ivo tungekua tumeshazika.


Ukiwa una demu ambaye bila kuhonga mapenzi hayaendi ,HAKIKISHA HUMPI MOYO WAKO, FANYA NAUHONGE KAMA VILE UNANUNUA MALAYA.

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Pacha unaulewa mchezo ulivyo.. yaani si unaona nigga alivyolizwa hapo.
Mm demu akiniambia nimsomeshe atanisikilizia kwenye bomba.. wakishapata mafanikio wanamuona mwanaume si lolote wala chochote.

Hawa viumbe waone tu.. anahongwa mke si girlfriend. Anasomeshwa mke si gf, anafunguliwa biashara mke wa ndoa sio gf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona alikutusi sana mkuu 5 min man 🙊
IMG_20180831_164408.JPG
 
Pacha unaulewa mchezo ulivyo.. yaani si unaona nigga alivyolizwa hapo.
Mm demu akiniambia nimsomeshe atanisikilizia kwenye bomba.. wakishapata mafanikio wanamuona mwanaume si lolote wala chochote.

Hawa viumbe waone tu.. anahongwa mke si girlfriend. Anasomeshwa mke si gf, anafunguliwa biashara mke wa ndoa sio gf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya ya mwisho umemaliza kila kitu mkuu

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Ukicheki na jinsi binti anavyojibu mbovu mbovu, ndo kabisaa. Tu binti twingine ni heartless
Yaani Jamaa mwanzo alikuwa amejitia kiburi sasa alipogeuziwa kibano akawa mdogo kama piriton huku analia lia.

Hapa naona kosa alilofanya ni kujaribu kuyakumbuka yote tena kwa kuyataja aliyowahi kumfanyia huyo dada akijuwa atamkumbusha na aione thamani yake kumbe ndipo alikuwa anazidi kuharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnawapendaga wanawake weupe acheni wawachune mpaka wawazike bullshit.
hata wakiwanyonya damu ni sawa tu.
wadada wazuri zuri mtakomaa na bado wataendelea kuja nakuja nakuja mpaka ufe kwa presha mwanamke ni yule wakawaida wazuri sio .
kila mara oh oh oh hapana namtaka queen bado atakuja princess this time atakuja kuchukua kila kitu halafu ubaki mtupu huna pakulala wala pakufikia .

Katoto, nini tatizo mbona umeongea kwa ukali hivyo.

Halafu sio wote wanaohongwa ni weupe... Kila mtu anasababu yake yakuhonga, mwingine kapenda shepu, mwingine mastaili anayopewa kitandani, mwingine anakuwa amempenda kweli n.k
 
Ndo maana mambo kama hit and run yakawepo au one night stand hakuna stress ila unafanya vyote ivyo kwa mtu mmoja we unakua bwege
 
Back
Top Bottom