Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,050
- 126,077
Hahahaaa. Hata mie naona aiseeeee.Unacheka rafiki? Watu tunashare uzoefu wetu
Hahahaaa. Hata mie naona aiseeeee.Unacheka rafiki? Watu tunashare uzoefu wetu
Hahahaaaaaaaaa. Nimecheka sana rafiki. Lol.
Hahaaa. Ukija kupata maana na mie nigee aiseee.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa. Ukija kupata maana na mie nigee aiseee.
Uko poa lakini?Aya sitakusahau best [emoji16]
Uko poa lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mke huyo ndo umuongezee mke wa pili ndugu yangu anza kuandika urithi mapemaaa hatakubali mwanamke mwingine aje wagawane utamu
wahenga walisema, mtoto umleavyo......!
kwaio hayo yanayokutokea ni kwamba wewe uliyalea tokea ndoa yenu bado changa. ni ukweli usiopingika kwamba; kipindi cha ndoa changa ndipo watu huandaa mtaala wa maisha yao ya ndoa. mfn; kwa kipindi hicho; ukimzoeza kurudi nyumbani mapema anakuzoea hivyo n.k, n.k. sasa siku ukifanya tofauti ndo anaanza kukuzingua maana hujamzoeza hivyo.
n.b; mlishe jalamba usimzoeze maisha flani (yaani usiishi kwa fomula uwe mtu wa kutotabirika). hapo ndipo utam-win mmama! vinginevyo utaiona ndoa yako ni jehanamu!
am done!
Dawa ya moto ni moto.Hahaaa. Jirani jirani eti siku nyingine asirudi kabisa si ndio atamkuta uso umevimba kwa kilio.
Mkuu inaonekana Huyo mwanamke alikupa dhamana ya moyo wake kwa kukuamini kupita kiasi lakini maybe umewah kumsaliti na akajua so inapotokea mazingira Fulani anahisi tu unàendelea kumsaliti,,so sio mashetani wala ninHabari za majukumu wakuu wenzangu.
Jamani sijui niseme ni wivu kupitiliza au mashetani yanamsumbua siku moja nilichelewa kurudi nyumbani ikafika saa tatu usiku ndo nikarudi nyumbani ilihali si kawaida yangu kufika mda huo.
Nilikua napiga stori kwa ndugu, jamaa na marafiki lakini yeye alikua hatambui hilo sasa kikubwa nilichokwenda kukutana nacho huko, nilikuta kama vile kuna msiba au tatizo kuuubwa machozi yalikua yanabubujika, kilichobakia nilicheka kama mazuri vile, maana baada ya kuuliza anacholilia duh!.
Majibu ni kwamba eti nimechelewa kurudi nyumbani sasa nikawa najiuliza saa tatu watu wanalia je ingefika saa tano si wangezimia kabisa na lingine anapenda kila wakati niwe ndani ndo anafarijika, akipita akitoka anione tu kama sanamu la dukani wakati mimi hayo mapenzi ya hivyo yananishinda.
Wakati huo huo kinachonishangaza wengine humu wanaleta nyuzi kwamba wake zao hawana furaha wakiwa pamoja mda mwingi, wakati mimi ni tofauti kabisa na hayo.
Ni kweli mkuu hicho ndo kikwazo kikubwa.Mkuu inaonekana Huyo mwanamke alikupa dhamana ya moyo wake kwa kukuamini kupita kiasi lakini maybe umewah kumsaliti na akajua so inapotokea mazingira Fulani anahisi tu unàendelea kumsaliti,,so sio mashetani wala nin
Basi vumilia mkuu hakuna namnaNi kweli mkuu hicho ndo kikwazo kikubwa.