Jamani mke wangu ana wivu au mashetani?

Jamani mke wangu ana wivu au mashetani?

Hii ni kawaida kwenye ndoa, kunachotakuwa ni kubadili style yako ya maisha, rudi mapema akiona kero chelewa kurudi. Marriage is dynamic.
 
wahenga walisema, mtoto umleavyo......!

kwaio hayo yanayokutokea ni kwamba wewe uliyalea tokea ndoa yenu bado changa. ni ukweli usiopingika kwamba; kipindi cha ndoa changa ndipo watu huandaa mtaala wa maisha yao ya ndoa. mfn; kwa kipindi hicho; ukimzoeza kurudi nyumbani mapema anakuzoea hivyo n.k, n.k. sasa siku ukifanya tofauti ndo anaanza kukuzingua maana hujamzoeza hivyo.

n.b; mlishe jalamba usimzoeze maisha flani (yaani usiishi kwa fomula uwe mtu wa kutotabirika). hapo ndipo utam-win mmama! vinginevyo utaiona ndoa yako ni jehanamu!

am done!
 
Mkuu kutokana na kazi zangu hainibidi kurudi usiku,,, na yeye anajua ratiba zangu zote kwa siku hiyo.
 
Kwa hiyo mkuu miaka yote hiyo ulokua ndani ya Ndoa unarudi nyumbani mapema? huna story na ndugu huchelewi hakuna folleni ya magari huko unakoishi, au anataka uwepo nyumbani kila mara akuone ili iweje usokwenda kutafuta hela ya ziada nje uko,haya rudi mapema Baba mridhishe mke ila matokeo yake ipo siku utajua kama ni wivu au mapenzi au kulikua kuna kitu hataki ujue.
 
Umekosea muaaji ulivyo anza hukuwa hivyo kadili siku zinasonga unabadilika lazima aumie kama mwanzo wa ndoa ungekuwa umemzoesha kuchelewa angejua ni kawaida ya wanaume litakusumbua jambo hilo uwe mtulivu kulitatua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom