Kaka iyo ni noma, ukitaka kumkomoa unashusha ya upande mmoja lingine unaliacha kwaida, atakomaje!
Kwanza yule beberu wa urithi nakupatia, shamba la urithi nakupati, kale kajoo nako, yaani hata wale senene tuliowatunza kwa ajili ya watu muhimu watakuwa wako.
Hahahahahaaaaaa hapa nakula kitu Neema....Dah sijui unamgusa nani?ah ah ah umenikumbusha mzee Daudi Kabaka "shemeji, shemeji huku mwazima taa.... ooh shemeji wee... shemeji shemeji huku mwazima taa"
Si amesema nayeye anakuja kuwa mgeni et kisa hukatai wageni....Huyo Jaji kaingiaje kwenye hiyo orodha?
Mbona ntanona kama sio kunenepa mwaka huu.
Ngoja nije kumchukua huyo beberu niongeze kwenye walo nlopewa kitambo.
Hahahahaaaa mgeuze Icecream au Lambalamba....Koni kama jina lake watu wailambeNo no! Huyu dawa yake akizidisha namgeuza Vocha za Voda/Zain zile za bukubuku za kusugua, nikimgeuza voda ya Jero atajidai kwakua haisuguliwi !
Au nimloge awe Ngazi ? Watu wanapanda , wengine wanashuka !
Hahahahahaaaa aisee sikujua hilo....Judge mpiga debe tu! Unafikiri hii harusi mtaifanya wawili tu ?
Zingatia nna adv diploma ya Kiherehere tena nimeichukulia nje ya nchi .
Hahahahahaaaaaa hapa nakula kitu Neema....Dah sijui unamgusa nani?
Hapana aisee.......mimi na wife huwa hatunaga stress kama za wengine.....Unakugusa wewe mwenyewe unayeusikiliza.
Hahahahahaaaa aisee sikujua hilo....
Lol
Hahahahahaaaaaa hapa nakula kitu Neema....Dah sijui unamgusa nani?
Wewe SS angalia kauli zako....hiii itakuwa AMyner na Mtei hiii
Hahahahaaa watu tuna hamu na nyama choma
Alafu si unamuona chale-cheja !
Anajifanya hauoni huu uzi !
Wakati kauona sana, kaumwaga Siasa,
Siasa na Kongosho wapi na wapi !
Hongera dearest....this sounds good!! All the best...lol :smile-big: