Jamani " lizzy" utaniua kwa barua yako tamu

Lol mwanaume umbea kusutwa inakaribia kuwa suna....
Teh kwani unataka kumiliki wote?
Lol mwachie basi Eliza wa Tegeta Bishanga wake

Kwani mi nilimnyang'anya?
Kaja mwenyewe, na mie sikufunzwa kufukuza mgeni.
 
Heh, kuna mtu kaiba pasiwedi ya Lizzy?

Leo na yeye kawa maharage ya Mbeya :)

Ta Kamugisha, katambikie ulikopita leo na hongera sana.
 
JG wewe uende mwenyewe Husny umuache wapi?
Lol naona una hamu ya kuachika au nawewe ukikaribishwa hukatai?

B52 umenifanya nimwage siri za ndani kuepuka kumjeruhi my wife!
My wife pregy yake ni Ectopic (imekaa nje ya mfuko) madaktari wanataka iwe aborted, so njia rahisi wamenishauri apate mishtuko huenda akapata easy miscarried ! Hapa umeniharibia dawa! Ndo ilikua moja ya mastuzi !
 
Mbona Husy kampiga chini kwa muda
yuko na pedeshee maaefum hapa mji wa chit chat
Halafu ni kama hajui kama kapigwa chini kwa muda eeeh
Ila nawewe hizi habari umezipata wapi? Au karudi kwa Uporoto?
Maana kwanza Uporoto na Kabakabana wameenda honeymoon Bombey..............hahahahaaaaaa
Pole sana JG
 
We hilo sio tatizo lako wala lao. . .nimeshapanga kila kitu.

@ J. . . .Hahaha hapana. Napokea wale wenye HERI tu na sio wenye SHARI.
Dah ngoja JG akija uone varangati lake toka kwa Husninyo....
Lol lazma ukimbilie kuomba msaada kwa jirani maana wanasema:
Problem ni: 3 Men 1 Lady
Challenge ni:3 Ladies 1 Man
So kwa hapo kwako itakuwa ni problem kubwa sana mtaa utachafukia lol
 
Nikimbie kwani mambo yao yananihusu?
 
B52 umenifanya nimwage siri za ndani kuepuka kumjeruhi my wife!
My wife pregy yake ni Ectopic (imekaa nje ya mfuko) madaktari wanataka iwe aborted, so njia rahisi wamenishauri apate mishtuko huenda akapata easy miscarried ! Hapa umeniharibia dawa! Ndo ilikua moja ya mastuzi !
Hahahahahaaaaa aisee hii njia ya kujitetea ni mpya sana Lol
Ngoja akija mwenyewe atasema tuone kama unatuingiza mjini...
Au kwa kuwa unakaa karibu na mkoa wa akina Bishanga ndo wameshakuambukiza zile tabia zao za tamtam?
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiii
 
Nikimbie kwani mambo yao yananihusu?
Sasa utawaangalia wanatoana meno?
Lol utashangaa watakapokubaliana kuleta amani na upendo na kukubali mmoja kuwa Nyumba Kubwa,mwingine ya Katikati na mwingine Ndogo.....Teh ila wote wanakuwa sambamba kwa kila kitu...kama mtoko basi maandamano na kama kulala maandamano...teh
 
Mbona Husy kampiga chini kwa muda
yuko na pedeshee maaefum hapa mji wa chit chat

Kongosho nafikiri hujawahi kurogwa eeh !
Ukirudia maneno sampuli hii shauri yako !
Ungekua He nakushusha shipa!
Bt kwa vile nna uhakika ni She nakushusha mtindi !
Na hutopata size ya Sidiria hadi siku ya kiyama! Utaishia za kushonesha !
Nilikuloga juzijuzi hapa ukawa Maziwa mtindi , umesahau ?
 
Back
Top Bottom