Jamani laana hii ni ya kujitakia!!!!!!!

Jamani laana hii ni ya kujitakia!!!!!!!

Sasa nimepindisha ukweli gani? Nimekwambia kiwanja chote kuanzia hapo NBC mpaka KKKT unashuka mpaka BILLY Lodge ilikuwa mali ya TBL yaani Tanzania Breweries.......unless humjui Kilewo ni nani.....Kanisa walipewa sehemu yao na KIMBISA akapewa sehemu yake na wengine wmjuao Lowassa nao wakapata ikiwemo KKKT
Hebu jaribu kuelewa nimeandika nini.
Klewo alitoa sehemu hiyo YOOTE KWA KANISA and not otherwise.
Katika kubadili matumizi ya ardhi na umilikaji ndipo Mheshimiwa akapata ulaji.
Kilewo HAKUMPA Kimbisa eneo hilo, bali alipewa na mheshimiwa, baada ya muheshimiwa KUJIGAWIA na kukigawa kiwanja hicho kwa dhamana ya cheo chake.
Hili lilileta mytafaruku mkubwa, na mheshimiwa HAJAWAHI kualikwa hapo Mbezi licha ya kuwa yeye vile vile ni KKKT.
Hata JK na Makamba walishawahi kualikwa hapo kwa harambee mbalimbali lakini SI Mheshimiwa wako.
 
Ndugu yangu mbona mgumu sana kuelewa............KKKT walipata wapi hiyo ardhi?.......waliipata kivipi?..........yaani huoni dots kabisa?.......Kilewo...........Lowassa.........KKKT.........Kimbisa.........na labda hujui kuwa hiyo nyumba next yenye ukuta wa Blue ni ya Marehemu Shirima aliyekuwa PS wa wizara?

attachment.php
 
Sasa nimepindisha ukweli gani? Nimekwambia kiwanja chote kuanzia hapo NBC mpaka KKKT unashuka mpaka BILLY Lodge ilikuwa mali ya TBL yaani Tanzania Breweries.......unless humjui Kilewo ni nani.....Kanisa walipewa sehemu yao na KIMBISA akapewa sehemu yake na wengine wmjuao Lowassa nao wakapata ikiwemo KKKT

Sasa wanalalamika nini hapo kama kila mtu alipata kipande chake..? Inawezekana wote walipata baada ya lobbyin ya nguvu so hakuna mwenye haki (between them) anaeweza kusema kadhulumiwa.. Au unasemaje Mkuu Safari_ni_Safari..?
 
Last edited by a moderator:
hawakai kivpi mbona naona ubao wa matangazo?
Dada huyo aliyeweka hilo tangazo ni Laundry Cleaner ambaye alishaondoka sasa ni miaka ya kutosha tu. Alichemsha PATCO supermarket itakuwa yeye mfuaji nguo bhana. Hiyo ndiyo mitaa yetu ya kujidai tukiwa njiani kuelekea kwetu Kunduchi, dada karibu sana ipo Tanki
ukitokea mwenge to Tegeta shuka kituoni cha T/ Bovu, lakini kwa wewe unayetumia usafiri wako kabla hujafika T/bovu mkono wako wa kulia.
 
Nakumbuka palikuwa na gym hapa kwa ghorofani, umenifanya nifikirie mara mbili mbili maana kwa jinsi jengo lilivyo vizuri na linafikika kirahisi sio kawaida kuwa ktk hali hii!
Hapo chini pia nakumbuka kulikuwa na Super Market kwenye miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea. Sijui ilikufaje!
 
Ili eneo liko wapi nina shida ya frem kweli nataka kuanzisha kabiashara kangu..........
Coz binadamu wakikosa sera wwnaanza kukimbilia kusema wamelogwa wapiiiiiii hakuna lolote
 
Ndugu yangu mbona mgumu sana kuelewa............KKKT walipata wapi hiyo ardhi?.......waliipata kivipi?..........yaani huoni dots kabisa?.......Kilewo...........Lowassa.........KKKT.........Kimbisa.........na labda hujui kuwa hiyo nyumba next yenye ukuta wa Blue ni ya Marehemu Shirima aliyekuwa PS wa wizara?

attachment.php
Mkuu story ya hiyo sehemu naifahamu fika na si wa kuhadithiwa.
Na ndio maana nasema pamelaaniwa.
Aliyetoa hiyo sehemu kwa ujanja ujanja(mheshimiwa)na hata waliofaidika nayo hiyo sehemu.
Jengo halina wateja
Mvua ikinyesha hao mashemeji wa mheshimiwa hakukaliki
Na kuna jamaa huko nyuma anafuga kitimoto kwa kwenda mbele
Hapo mahala mradi balaa tupu!!!

Mshaurini mheshimiwa aombe radhi kwa wana Mbezi ili laana imwepuke!!
 
Kuna sehemu moja mtu mmoja aliiba mali ya kanisa na akajenga nyumba miaka ya zamani sana zaidi ya 40 iliyopita. Mpaka hivi sasa nyumba hiyo imebakia kuwa gofu na hakuna mtu aliyewahi kuishi humo!
 
Jengo ni mali ya ALHAJI ADAM KIMBISA na waziri aliyekuwa na dhamana ya ardhi ni NDUGU EDWARD LOWASSA........Hiyo ardhi ilikuwa nali ya TBL kabla ya ubinafsishaji na ARNOLD KILEWO ndiye aliye lobby kanisa kupata kiwanja na si kinyume chake. Lowassa kama muumini wa KKKT nae akawapa kanisa. Kukosa biashara kwa jengo ni suala la msimamo wa mmiliki.

Mbona hueleweki hapo kwenye RED? Aliwapa kanisa gani na liko wapi? Kwa hiyo Kimbisa hakuvamia kiwanja?? Funguka vizuri
 
Wakati mwingine ni vizuri kuafikiana kutokuafikiana........sijui wana Mbezi wanahusikaje mpaka waombwe radhi!
Mkuu inaelekea wewe stori ya hapo huijui kabisa, mwulize mwana KKKT Mbezi Beach, yeyote wa hapo ndo utaipata from the horses mouth!
 
Mijitu imekalia umbea sijui inafaidika na nini.
 
Nini knasababisha hawakai, mbona imepangishwa, au hivyo vibao ni geresha?
 
Dada huyo aliyeweka hilo tangazo ni Laundry Cleaner ambaye alishaondoka sasa ni miaka ya kutosha tu. Alichemsha PATCO supermarket itakuwa yeye mfuaji nguo bhana. Hiyo ndiyo mitaa yetu ya kujidai tukiwa njiani kuelekea kwetu Kunduchi, dada karibu sana ipo Tanki
ukitokea mwenge to Tegeta shuka kituoni cha T/ Bovu, lakini kwa wewe unayetumia usafiri wako kabla hujafika T/bovu mkono wako wa kulia.
Acha uwongo mfuaji nguo yupo mi nimefua last week Kama sikosei amebaki peke yake Kama jini Yule wa meno sinauhakika sana maana ukipanda juu unaona ofisi lakini pamefungwa mda wote
 
Dada karibu sana ipo Tanki
ukitokea mwenge to Tegeta shuka kituoni cha T/ Bovu, lakini kwa wewe unayetumia usafiri wako kabla hujafika T/bovu mkono wako wa kulia.

asante kwa majibu mazuri ila sikai dar nakaa singida karibu tulime alizeti,kuhusu usafiri hata guta bado kujaaliwa
 
Jengo ni mali ya ALHAJI ADAM KIMBISA na waziri aliyekuwa na dhamana ya ardhi ni NDUGU EDWARD LOWASSA........Hiyo ardhi ilikuwa nali ya TBL kabla ya ubinafsishaji na ARNOLD KILEWO ndiye aliye lobby kanisa kupata kiwanja na si kinyume chake. Lowassa kama muumini wa KKKT nae akawapa kanisa. Kukosa biashara kwa jengo ni suala la msimamo wa mmiliki.
Kwa hiyo Lowasa aliwapa kanisa halafu akakichukua tena au??
Hilo jengo lina gundu ile mbaya. Kufeli kwa Imalaseko na PATCO ni mfano mzuri, hiyo si sehemu ya kukosa biashara especially wakati huo hiyo njia inapitwa na kila mtu wa mbezi
 
Ni kwamba kanisa lilitumika ili watu wengine wajipatie ardhi ya TBL. UKISHAGWA KIWANJA KWA TAASISI YA KIIMANI ni vigumu kuirejesha
 
Back
Top Bottom