Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Huwa wakati mwingine najiuliza kama kuna kikomo cha urafi. Huyu mheshimiwa anataka kila kitu kiwe mikononi mwake na kwa kufanya hivyo, amepanga timu ya walafi wadogo wadogo ambao wako nyuma ya pazia kuhakikisha anaendelea kuwa mrafi.
kwa urafi wake, bado anapenda kwa hali na mali awe kiongozi wetu mkuu na kwa ujinga wetu, tunaweza kumkubalia.
kwa urafi wake, bado anapenda kwa hali na mali awe kiongozi wetu mkuu na kwa ujinga wetu, tunaweza kumkubalia.