masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,591
- Thread starter
- #61
Yule aliambiwa Gym iwe ya wanaume tu.
Na ikabidi basi mwenye Gym aondoke maana wanaume peke yao hailipi au siyo?
Yule aliambiwa Gym iwe ya wanaume tu.
Tuwe careful, kwa dini ya kikristo laana hutolewa kwa nadra sana, na ndio maana nikaandika laana mtu anajitakia mwenyewe.Mtoa mada hataki kukubaliana na mimi katika hoja zangu........yeye anadai kuna laana lakini nijuavyo mimi Kanisa huwa halilaani kitu bali huombea tu
Wiki ijayo nitakuja Singida nichinjie kuku kuchi mmoja mzuri, nitafikia sehemu moja karibu na NBC, nitaku-pm nikikaribia.asante kwa majibu mazuri ila sikai dar nakaa singida karibu tulime alizeti,kuhusu usafiri hata guta bado kujaaliwa
Yule msumkuma wa PATKO?Imani ni kitu kigumu sana.......mpangaji mmoja alitimuliwa kwa kuuza bia kwenye supermarket
Ili eneo liko wapi nina shida ya frem kweli nataka kuanzisha kabiashara kangu..........
Coz binadamu wakikosa sera wwnaanza kukimbilia kusema wamelogwa wapiiiiiii hakuna lolote
Ni kwamba kanisa lilitumika ili watu wengine wajipatie ardhi ya TBL. UKISHAGWA KIWANJA KWA TAASISI YA KIIMANI ni vigumu kuirejesha
Unataka kuhakikisha kama kweli kuna kulogwa basi karibu yakheeee....
Mwenye mali naye ana masharti haswa, labda angejenga nyumba ya kuishi kuliko biashara, labda ingesaidia.....
Na ikabidi basi mwenye Gym aondoke maana wanaume peke yao hailipi au siyo?