Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

Kitabu gani hiki hata google haikijui?

Screenshot_20210227-074702.jpg
 
Kuna mzee mmoja tajiri wa zamani nilisikia kama anakitajataja sikutilia maani.
Anapatikana nje kidogo na Mtowambu.
 
sio hivo bro kama unakijua tuelekeze basi
ndio maana nikakuuliza unataka kujifunza kupiga Ramli...maana kazi kubwa ya hicho kitabu ni kuona mambo yaliyo jificha yatakayotokea au ambayo yamesha tokea...ninaweza nikakupa msasa kidogo wa jambo hilo ila itakugalimu kidogo...ukiwa teyari...unaweza kunitafuta kwenye hapa zero67tisa5mbili1tatu4nne. huwa sijibu meseji.
 
Kinaitwa مجموعة ساعة والخبر ''Majmuu'at saat walkhabar''' kimatumbi "Makusanyo ya saa na taarifa"

Chenyewe kinazigawa nyakati za siku kwa mujibu wa mienendo ya nyota, jua, sayari na mwezi.

Kinatabiri yatakayojiri kwa mtu kwa kuzingatia jina lake na la mama yake mzazi, in correlation to events time, day, date and month.... na kutoa results.

Kwa ufupi ni Ushirikina uliotukuka...

Weka mbali na jamii.
 
Back
Top Bottom