Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
- Thread starter
- #61
vitoto vya siku sijui aisee,yanaingilia huku yanatokea kule.na sisi wazazi tunachangia...
dawa ni kuwa karibu na watoto wao, wakuheshimu kama baba/mama lakini wakuone kama rafiki ambaye mnaweza keti na kutia story, ambaye akitatizwa anakufuata kukuomba ushauri /kukuuliza na unapoulizwa ujibu sio kuleta ukali
na kuzuia watoto wenu kuwa karibu na utandawazi hata kama umeenea kiasi gani, mtoto darasa la saba ana simu, tena yupo facebook anafanya nini huko? simu ya nini? kukiwa na simu ya tochi nyumbani ambayo inatumiwa na kila mtu unayoicontrol itakuwaje?
unazungumza na watoto wako wa kike na wakiume kuhusu mapenzi, madhara yake, maradhi nk?