Sawa kumpa hela ni hiyari. Je, ni ufahari kutengeneza taifa la gold diggers?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,418
9,806
To all men let us rethink this together. Wanawake wamekua wadangaji, ombaomba na kausha damu huku wakijitetea izo hela wanaume wanatoa kwa hiyali yao hata baadhi ya wanaume wanawaunga mkono kwa huo utetezi wao.

Sawa kumpa hela ni hiyali yako lakini ni kitendo cha kuwadumaza akili wanawake. Fikiria watoto wakike wanajifunza nini wakiona dada na mama zao wanaishi kwa kudanga? Fikiria kuna mabinti hawafanyi kazi wana namba za wanaume karibu 50 kwenye simu wao kila jioni ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa wanaume takribani 20 ili wapate hela za dezo dezo tu.

Hatuwezi kuruhusu taifa la wadangaji na ombaomba kisa wanapewa hela kwa hiyali. Hawa kausha damu ni nguvu kazi ambayo inabidi iwe utilized kwa maendeleo ya nchi.

Tukifumbia macho sasa hivi uko mbeleni tunaenda kuwa taifa la gold diggers maana hawa kausha damu pia wanaenda na upepo wa mitandao wapo uko tinder, badoo na tagged. Hata kama hela unayo inabidi kuwakazia wajifunze kufanya kazi ndio njia ya kupata hela.

Kausha damu akikulilia shida zake mjibu moja kwa moja "sina hela" usilete story za sijui kuna ishu naisikilizia, maana baada siku kadhaa atarudi tena. From the first place akikupiga mzinga mjibu moja kwa moja "sina hela". Kausha damu wameshamili kwa sababu na wanaume pia tumewaendekeza.

Men, don't drain your money to entertain gold diggers, they will destroy your life and disapper. In 2024 Put yourself first, be selfish whenever necessary. Not everyone deserve your time, attention and mostly importantly your money because when you go broke no one, absolutely no one will come to save. The world doesn't have mercy to men.
 
To all men let us rethink this together. Wanawake wamekua wadangaji, ombaomba na kausha damu huku wakijitetea izo hela wanaume wanatoa kwa hiyali yao hata baadhi ya wanaume wanawaunga mkono kwa huo utetezi wao.

Sawa kumpa hela ni hiyali yako lakini ni kitendo cha kuwadumaza akili wanawake. Fikiria watoto wakike wanajifunza nini wakiona dada na mama zao wanaishi kwa kudanga? Fikiria kuna mabinti hawafanyi kazi wana namba za wanaume karibu 50 kwenye simu wao kila jioni ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa wanaume takribani 20 ili wapate hela za dezo dezo tu.

Hatuwezi kuruhusu taifa la wadangaji na ombaomba kisa wanapewa hela kwa hiyali. Hawa kausha damu ni nguvu kazi ambayo inabidi iwe utilized kwa maendeleo ya nchi.

Tukifumbia macho sasa hivi uko mbeleni tunaenda kuwa taifa la gold diggers maana hawa kausha damu pia wanaenda na upepo wa mitandao wapo uko tinder, badoo na tagged. Hata kama hela unayo inabidi kuwakazia wajifunze kufanya kazi ndio njia ya kupata hela.

Kausha damu akikulilia shida zake mjibu moja kwa moja "sina hela" usilete story za sijui kuna ishu naisikilizia, maana baada siku kadhaa atarudi tena. From the first place akikupiga mzinga mjibu moja kwa moja "sina hela". Kausha damu wameshamili kwa sababu na wanaume pia tumewaendekeza.

Men, don't drain your money to entertain gold diggers, they will JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your life and disapper. In 2024 Put yourself first, be selfish whenever necessary. Not everyone deserve your time, attention and mostly importantly your money because when you go broke no one, absolutely no one will come to save. The world doesn't have mercy to men.
The last paragraph ndio yenyewe👍 piga nyeto achana na mademu
 
Binafsi siwezi kutoa hela kama sifaidiki kwa chochote na huyo mwanamke. Yaan sio ndugu yangu na wala coochie yake siigusi nampa hela ili iweje sasa? Halafu hata ukiwachukia wanawake haisaidii kitu kwa sababu nature inatutaka tutegemeane na sisi wote tunatoka kwenye matumbo yao. Je unataka kwenda tofauti na nature? Mambo mengine nadhani tutumie akili zaidi namna ya kudeal na hii gender kuliko kuweka maadhimio yasiyowezekana
 
Tena jamaa nampenda sana he hates women with a passion na anamwaga nondo za ukweli kabisa kuhusu women, most selfish creature known to mankind
Sio kwamba siwapendi wanawake ila nawakumbusha wajibu wao. Mimi ambae nawachana live ndio nawatakia mema kuliko wanaowaendekeza nankuwaunga mkono kwa tabia ya kuwa ombaomba na ukahaba wa kimya kimya
 
Binafsi siwezi kutoa hela kama sifaidiki kwa chochote na huyo mwanamke. Yaan sio ndugu yangu na wala coochie yake siigusi nampa hela ili iweje sasa? Halafu hata ukiwachukia wanawake haisaidii kitu kwa sababu nature inatutaka tutegemeane na sisi wote tunatoka kwenye matumbo yao. Je unataka kwenda tofauti na nature? Mambo mengine nadhani tutumie akili zaidi namna ya kudeal na hii gender kuliko kuweka maadhimio yasiyowezekana
Kusema ukweli sio chuki.
 
Akikuomba mara mbili unamuambia unanidai? Au
Kama yeye hana aibu usoni wewe kwqnini uinamishe uso?
Wakazieni macho
Hao sio vilema bali ni matapeli kama matapeli wengine
Una hoja lkn huku Tz wanawake wote mioyo na akili imelemaa, huwezi kueleweka.
Akimaliza kusoma wanatuma txt...
Nikwambie kitu?

Mruhusu akwambie sasa.
Utasikia naomba 50k
 
The last paragraph ndio yenyewe piga nyeto achana na mademu
Sio lazima upige nyeto. Decent women wapo, mimi ninae na tunaishi vizuri bila kukaushana damu. Ni suala la kumuweka wazi principles zako na kuepuka swaga za kuonga kuanzia mwanzo wa mahusiano yenu. We demu umempata bar kwa kuwatembezea buckets za savanah yeye na mashost zake ili upate sifa za kijinga, hivi unategemea nini ukianzisha nae mahusiano?.
 
Mzee you're so bitter, kila siku wanawake this, wanawake that,

May God grant you healing aiseeeh'..!!
Huyu God mnampa mizigo
Hawezi watch na grant people ambazo hazijajirudi kwake

Huyu atafute kwanza ajira, ndo ajira imkeep busy aache kuhangaika na gold diggers ambao hawamuhusu. Akomae na goma lake huko kwao.
 
Bila shaka wewe ni kausha damu. Ajira nimeshapata mwaka jana december ndio nimereport kazini.
 
Back
Top Bottom