Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

16 dah kakubwa ako, usipokuwa makini utapata kajukuu hapo mmh!
jitahidi kuwa nae karibu huyo ndio umri wenyewe wa kutaka kujua kila kinachoendelea dunian lol!
pia muweke kwenye kumjua mungu, GOD FEAR ndio mpango mzima kiidogo itamjenga vizuuri.
regardz to koku lol!
 
na sisi wazazi tunachangia...

dawa ni kuwa karibu na watoto wao, wakuheshimu kama baba/mama lakini wakuone kama rafiki ambaye mnaweza keti na kutia story, ambaye akitatizwa anakufuata kukuomba ushauri /kukuuliza na unapoulizwa ujibu sio kuleta ukali

na kuzuia watoto wenu kuwa karibu na utandawazi hata kama umeenea kiasi gani, mtoto darasa la saba ana simu, tena yupo facebook anafanya nini huko? simu ya nini? kukiwa na simu ya tochi nyumbani ambayo inatumiwa na kila mtu unayoicontrol itakuwaje?

unazungumza na watoto wako wa kike na wakiume kuhusu mapenzi, madhara yake, maradhi nk?

Kama wewe ulipokuwa mtoto ulivyo wasumbuwa wazazi wako sasa unaona joto ya jiwe !!!!!!!!!!!!!!!!

Life goes on. The people are changing. The world is the same. What do you think you can do to change that needs no catalyst. Talk. Talk. Talk. Is all that a man can do. It is understanding the sciences that matters and can return the GOOD OLD DAYS. I dont know where they have gone. But for sure they can come with a lot of efforts on your side. GOOD LUCK.
 
Unajua tuna access risks tofauti
Konda wa dala dala kuning'inia mlangoni si ishu
Lakini kwa mwingine anaona ni risk kubwa sana

Wala haikuwa kutembea wala nini
Ni kitu kidogo sana na cha kijinga mno
Lakini mama yake could not take it
Akataka kupata uhakika
Afu mtoto wake huwa ni msiri sana
And he is 12, so akaona bora akahakikishe
Sasa hivi wote mama na mtoto wanaishi kwa amani
Maana hata mtoto alikuwa analia sana akiulizwa anasema hakuna kitu kama hicho

Nilichotaka kusema hapa ni kuwa
Hata dalili iwe ndogo kiasi gani
Nenda kahakikishe, ili kama kuna tiba uweze kuifanya mapema
Sio unakuwa na doubts unaacha tu
Ukija shtuka, mtoto kesha kubuhu

Kongosho bana...

"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..
 
Sijui huwa nawaonea akina mama?
Ila tabia ya binti nashindwa kuitenga na tabia ya mama
Hata kama binti atapinda kiaina lakini tabia ya mama yake ina nafasi kubwa sana

Kuna vitu ambavyo binti anajifunza kwa mama bila hata kuambiwa
Mfano, mama anaamini nini katika thamani ya mwili wake?
Kama mama ni cheater, basi sitashangaa na binti akiwa hivyo

NA ukiangalia malalamiko sku hizi
Wake za watu wanacheat sana kuliko zamani
Sasa hawa watoto wetu watajifunza nini kutoka kwetu

It's complicated

Unless wazazi tumebadilika, watoto wetu nao watabadilika
i try,i try Konnie,we acha tu,katoto kapuuzi sana haka.
 
Sijui huwa nawaonea akina mama?
Ila tabia ya binti nashindwa kuitenga na tabia ya mama
Hata kama binti atapinda kiaina lakini tabia ya mama yake ina nafasi kubwa sana

Kuna vitu ambavyo binti anajifunza kwa mama bila hata kuambiwa
Mfano, mama anaamini nini katika thamani ya mwili wake?
Kama mama ni cheater, basi sitashangaa na binti akiwa hivyo

NA ukiangalia malalamiko sku hizi
Wake za watu wanacheat sana kuliko zamani
Sasa hawa watoto wetu watajifunza nini kutoka kwetu

It's complicated

Unless wazazi tumebadilika, watoto wetu nao watabadilika
kuna katoto niliona niwe mama ushauri wake katika maongezi nikamwambia ukifanya hayo mambo waweza pata mimba akaniambia wewe mimi sijawahi kulala na mwanaume yeyote bila kutumia mpira ,nilizimia mtoto wa miaka 12
 
Mpe mda bint yako utafurahia,usiwe baba suruali na wala kulipa school fees sio kukufanya uwe baba bora,tumia mda wako mwingi kua nao karibu wahisi wako na baba.
 
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
Kumbe huwa inauma Bishanga ehee...ulipokuwa unachezea watoto wa watu au ukiwa unapiga infidelity zako kaa ukijua kuwa na wewe wa kwako kuna jamaa wataanza kummendea soon...lol
 
Siku hizi hamna unafuu..yani wote ni pasua kichwa.

Mwenye wa kike an hofu ya kuletewa kitumbo kilichotuna huku mwenye wa kiume ana hofu ya kuletewe "boifriend". Yani hamna kupumua mpaka wawe watu wazima na uone hayo yote yamekwepeka.

Huyo wako nenda nae taratibu maana sasa hivi ndio kile kipindi cha kukomoana na mzazi kwake...ukiongea sana kitu ambacho hajafanya basi anafanya...ukijifanya mnoko sana basi anafanya yale anayojua ukijua yatakukera sana hata kama sio anayotaka kufanya.Jitahidi kuongea na kureason nae...the more mnaelewana lugha the better.
 
We umeoa tayari umeshampa mimba bi harusi, mama umeolewa tayari mimba miezi 7, unataka mtoto azaliwe na tabia gani?, Watoto mnawazaa kwenye laana yenu msiwalaumu!, Vimba sana ila angalia usipasuke, ni matunda ya kazi yako!
 
Sijui huwa nawaonea akina mama?
Ila tabia ya binti nashindwa kuitenga na tabia ya mama
Hata kama binti atapinda kiaina lakini tabia ya mama yake ina nafasi kubwa sana

Kuna vitu ambavyo binti anajifunza kwa mama bila hata kuambiwa
Mfano, mama anaamini nini katika thamani ya mwili wake?
Kama mama ni cheater, basi sitashangaa na binti akiwa hivyo

NA ukiangalia malalamiko sku hizi
Wake za watu wanacheat sana kuliko zamani
Sasa hawa watoto wetu watajifunza nini kutoka kwetu

It's complicated

Unless wazazi tumebadilika, watoto wetu nao watabadilika
Unategemea nini kama binti anfahamu mabuzi ya mamake vivyo ivyo wakiume anazifahamu nyumba ndogo za babake, majibu yanayotoka hapo ni hasi
 
Na watoto wakike na wakiume lakini ukweli watoto wakike huwa hawasumbui sana kama mitoto ya kiume.

Yani hayo ma nunda nilio nayo kila siku naletewa mashitaka, afu mama yao anasema yamekufata :biggrin:
 
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!

pole mzee mwenzangu, ila kabla hujalala pata kachupa ka ulanzi katasaidia kuleta usingizi mnono. Kesho ukiamka...... Mambo yako pale pale!

Mtoto umleavyo..........
 
Pole sana bishanga,ukali hapo hauna nafasi na wala hautasaidia,jitahidi kuwa rafiki wa karibu ili akuone km mshauri itakuwa rahisi kufuata kile unachomshauri au kumwambia,
Kwa umri huo hata umpige na kumjeruhi kamwe hutafanikiwa kumweka utakavo,

Mie nakumbuka baba alikuwa akinipenda na kuwa rafiki yangu kiasi kwamba kila alichonambia ndio nilifata mpaka mama akawa akitaka kunionya kitu anasema subiri baba yake akimwambia ndio anaelewa na hii ni kwa sababu mama alikua anaongea kwa fimbo na baba alitumia hekima na busara na nashukuru alifanikiwa kunilea vema mpaka nimekua mtu mzima.
 
Dah pole ndugu, ongea na mwanao usimwonee haya na pia watoto wanajifunza kwe2 wazazi, so bishanga watch urself isijekuwa ndo yale yale ya naenda kusema kwa mama.
hahahhaaaa haya bana nimekupata,umemwona Kaunga alivyonishikia bango?
 
Hali ni ngumu sana, wasichana wadogo hawana ubavu wa kuresist 'masomo' ya wijana na wanaume wenye uchu wa fresh kila kona, binti wa kaka yangu jana katiroka home anasingizia anakuja kwangu, amepata zeroform four juzi, tunamtafuta, naona leo tunaenda polisi kuripoti
oh dear oh dear poleni sana,mshampata?
 
Huyu mwanangu Ngina mie ninafikiria kumpeleka kwa Nyanya yake huko kijijini, mzee mwenzangu hawa mabinti zetu, yaani kaazi kwelikweli...............
Humu humu JF kuna mifano mingi tu, kuna vibinti ukisoma maoni yao, unajua kabisa ni pasua kichwa..................LOL
yaani baba Canta mi nachoka kabisa,umesoma sad story ya Haika hapo page 2? Hivi tunafanyaje?
 
16 dah kakubwa ako, usipokuwa makini utapata kajukuu hapo mmh!
jitahidi kuwa nae karibu huyo ndio umri wenyewe wa kutaka kujua kila kinachoendelea dunian lol!
pia muweke kwenye kumjua mungu, GOD FEAR ndio mpango mzima kiidogo itamjenga vizuuri.
regardz to koku lol!
ahsante mama,ukimwona Kaunga mwambie namsalimi!
 
Back
Top Bottom