Jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja

kwa mpigo means tupacha tunne!!! hapo i have no choice semeji

Au tuwili utaturudisha ahera? I cant imagine, huo ubaunsa wako ukamate tupacha tunne. Ukiingia kwenye daladala watacheka watu!
 
Mtoa mada yuko wapi..mbona kakimbia na kuwaaacha watu wanachangia bila comment kama anaelewa au anahitaji kuelimishwa zaidi!Bujibuji rudi jamvini babaake usomeshwe!

Afu Bujibuji ndo zake hizo, anaweka kitu mezani yeye huyooooooo!!!
 
Hehehe! words changed to their opposite. Sore shemeji! Nakuombea upate mapacha sita wenye afya tele!

sasa dua mbaya hizo, ni kama unataka niwatese kwa kuwasukuma na kuwaangusha toka kitandani maana space ya kulala itakuwa haba!!!
 
Wee jeni amka ujishike vizuri wameanza tena mchezo wao wasije wakakuangusha tena.
Hii mbona cha mtoto ndugu? Mimi kali ambayo nimewahi kuiskia ni kwamba mtoto mmoja wakati anachapwa na mama yake kwa kukojoa kitandani, alipandisha ghadhabu na kumuambia mamake '' Unanionea mimi tu kwa kuwa ni mdogo, mbona baba humchapi?....kila siku usiku namsikia ukisema anakojoa kitandani na wewe unamkubalia''
 
Mbona wahindi nao huwa wanajazana wengi nyumba moja. wao wanafanyaje? Usijekuta ndo maana wananunua sana hiace ili mambo yawe yanafanyika weekend tena kwa zamu.Wakati zamu ya mtu ikifika wengine wote wanaingia kwenye hiace wanamuachia uwanja ili asiangushe watoto.
Angalizo: Kwetu wabantu hili sio zoezi dogo maana huwa hatuna mapumziko marefu ya aina hiyo.
 
vingine huwezi wewe mbona unafata mila potofu shemeji lakini....dadangu le yuko wapi kwanza??? au ulimwacha mchanga mweupe kule??

Hahaha! Yuko kliniki, safari ya mikumi ilizaa matunda. Naona anatema mate mara kwa mara na kula vitu vichachu!
 
Hahaha! Yuko kliniki, safari ya mikumi ilizaa matunda. Naona anatema mate mara kwa mara na kula vitu vichachu!

hahaaaa lol!!! ntamnunulia ndimu le na maembe mabichi nione responce!!!
 
hahaaaa lol!!! ntamnunulia ndimu le na maembe mabichi nione responce!!!

Nadhani umeiona hiyo SENKSI! Utakuwa umenisaidia kupunguza bajeti, ntakuwa nakula mixer kwa kujiamini zaidi.
 
Wazazi ni wajinga kbsa hawa, na baadhi ya ambao hawajatajwa hapa, kama huna uwezo unazaa ya nini? ili kusumbua watoto sio? na wengine hata kuwalisha hatuwezi. Ni aibu. Oaneni na msizae mleeane tu.


Hiyo sentensi ni hatari sana. Kama ungekuwa waziri, kesho nisingeshangaa kuona mamia wanaandamana ili uachie ngazi.

Mkuu kuzaa haiwezi kuwa kazi ya wenye uwezo. Kwanza watu wenye uwezo wenyewe wana matatizo kibao. Wengine libido zimekufa mpaka wakapepewe kwa sangoma Na wengine sperm count imeshuka kiasi kwamba wanatoa hewa tu kama vile wanacheua. Hawa watu wa Uswazi ni muhimu sana kuhakikisha kuwa hiki kizazi hakiangamii. Ni jukumu la wasomi na watu wengine wenye uwezo na upeo kuwasaidia ili wasiharibu watoto.
 
Nguli sio ujinga ndugu vijimambo vya maisha tu hivyo, masikini nao wana haki ya kulana uroda na kuzaana, na ndoa za kiafrika bila watoto si unajua tena mtaandikwa magazeti, mtatungiwa na nyimbo za ngoma za kienyeji!
we acha tu hata huo mchana chumba kimoja kinakuwa na mambo kibao, maji ya kunywa yamo humo, kupika ni humo, madaftari ya watoto yako humo, makochi huko huko incase kuna mgeni stimu lazima zikatike, kwa ujumla ni maisha magumu sana, na ndiohapo mtu anapoamua kula uroda usiku na vitoto vyetu vya kichina hivi havifungi macho, vinalala saa 8 usiku kwa kusikilizia mautamu ya watu, mwee I thank GOD kwa maisha niliyonayo, nayaona bora sana sana!
sawa maisha magumu nini kifanyike?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom